Recent content by Eddy Hazard 10

  1. E

    Continuous Students na mkopo

    Bado bila bila tu Mzee tufanye imepita tukapigane kwa hatua hii inayofuata
  2. E

    Je kuna mkopo awamu ya tatu? Na inatoka lini?

    Aisee bila kulipa ada husajiliwi kwa maana hiyo ukienda kufanya usajili unaambatanisha bank slip yako ya malipo ya ada ndo unasajiliwa hii hutumika vyuo vingi hapa bongo
  3. E

    Hostel Mzumbe ni kiasi gani?

    59500 ni ya semester moja mwaka mzima ni 119000 kama uta opt kukaa hostel mwaka mzima
  4. E

    Je pesa ya hostel inakatwa kwenye mkopo?

    kama kwenye mkopo wako unnalipiwa tuition fee basi fanya uwahi kujisajili kama umeshindwa kujua kiasi cha ada unachotakiwa kulipa wanao husika na usajili watakujuza. Hosteli kwa mzumbe hawakupi hadi uwe umelipa ada ya chuo..na pesa ya hosteli unatakiwa kuilipa wewe na sio bodi ya mkopo
  5. E

    Wakuu naomba kueleshwa huyu ni kijana wa jirani kwenye akaunti ya chuo iko hivi

    Hapo ni jumla ya ada yote plus michango ndo inakuja hiyo total ya 1465000 Ila semester ya kwanza anapaswa kulipia 815000/= Then semester ya pili atamalizia 650000/= Maana hiyo ni Saris account ya Mzumbe
  6. E

    Maandalizi ya kuripoti chuo kikuu mwaka wa kwanza 2017/2018.

    kama ulikuwa selected chuo kimoja haina haja ya kuconfirm
  7. E

    HESLB waachia majina 11,481 ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili 2017/18

    Huyu jamaa ndo anaepaswa hasa kupimwa mkojo...Ama kweli masikini akipata.....Ubinafsi ubinafsi ubinafsi dhambi kubwa inayotuteketeza watanzania...huyu anaonyesha dhahiri ata akifika huko chuo kusoma kwake kutakuwa ni kwa kujijali mwenyewe..Badilika kijana hapa ndo unaanza kutengeneza future...
  8. E

    Maandalizi ya kuripoti chuo kikuu mwaka wa kwanza 2017/2018.

    Wale wa Mzumbe campus ya MBEYA karibuni sana ukienda MBEYA kuna stendi kubwa mbili ya nane nane na stendi kuu ya mjini kote ukishuka utafika tu chuo bila shida..kumbuka kutokuja na mizigo mingi kipindi hiki itakuletea usumbufu..kwa wale wanaohitaji hosteli za bei nafuu ziko ndani ya chuo humo...
  9. E

    HESLB waachia majina 11,481 ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili 2017/18

    Nadhani tusubiri tu maana hii ni ya first year bado mi mwenyewe continuous mkuu
  10. E

    Joining instruction ya mzumbe

    Fungua Google then Andika Mzumbe Saris kisha ifungue ikikubali weka username ambayo ni form four index namba yako iwe mfumo huuu S000/0000/0000 kisha password ni surname yako kwa herufi ndogo baada ya hapo kila kitu chako utakiona
  11. E

    SECOND SELECTION MZUMBE TUKUTANE HAPA

    Basi apo weka surname yako kwa herufi ndogo kama password
  12. E

    SECOND SELECTION MZUMBE TUKUTANE HAPA

    Unaandikaje kwani hizo password lazima ziwe kwa herufi ndogo afu username ni fom four index namba yako tumia mfumo huu S000/0000/0000
  13. E

    HESLB yapiga Ramli

    Research bado mkuu hiyo utaifanya ukifika mwaka wa mwisho wa masomo yako huko chuoni na ndio kipindi utakachopewa hiyo pesa
  14. E

    HESLB yapiga Ramli

    Pesa unapewa kwa awamu NNE kwa mwaka inamaanisha kwa kila semester unapewa Mara mbili na semester moja INA miezi minne so kila baada ya miezi miwili utapatiwa fungu lako
  15. E

    HESLB yapiga Ramli

    Nipo branch ya Mbeya mkuu bila shaka we utakuwa main campus ya moro
Back
Top Bottom