Recent content by eddy G.

  1. eddy G.

    God vs satan

    Am for God.
  2. eddy G.

    Hapo zamani

    Kumbe??
  3. eddy G.

    Hapo zamani

    Ukagundua nini??
  4. eddy G.

    Wasanii waliochukua fomu za Ubunge

    Isiwe ni Ukimbiliaji wa madaraka na kuonekana huku wakifanikisha ya kwao! wajue Wanachokitaka sio kwaajili yao bali ni kwaajili ya wananchi.
  5. eddy G.

    Lolote linaweza kutokea kabla ya 25/10/2015

    Tuwe na Amani tu,na tuzidi kumuomba Mungu mapenzi yake yatimie!
  6. eddy G.

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Tatizo la watanzani sisi! Kila mtu tunataka kumchuja na Kitambaa eti asiwe na kosa lolote! kila mwanadamu ana mapungufu yake jamani ila tunatofautiana! huyo Mzee Magufuri nae ni binadamu ila ni bora huyo sasa kuliko wale wengine! sasa tukimchuja kila mtu kwa Upeo huo Unafikiri nani...
  7. eddy G.

    Sababu 6 kwanini sitoenda kuhudhuria mazishi ya mbunge wangu Captain Komba

    jamani Ishu ya msiba na kumzika marehemu si ya kuijadili kabisa yani,..Katika sehemu moja wapo ambayo unatakiwa kuonesha Utu wako kama mwanadamu ni kushiriki katika misiba na maziko! sasa Usijaribu kumsema mtu hujui kesho yako itakuwaje Jamani!!
  8. eddy G.

    Mwalimu wa Kibasila aishi na kinyesi chumbani kwake kwa miaka miwili

    yani Ishu ni Kuishi na hizo Mambo ndani daah!!!
Back
Top Bottom