Recent content by eddy edo

  1. eddy edo

    Pesa anazogawa Rais Magufuli kama njugu anazipata wapi? Nani kaziidhinisha?

    Unajua mfuko wa Rais hutengewa bei gani?
  2. eddy edo

    Naomba kufaham kuhusu GPSA

    Naomba mwenye uwelewa na jinsi ya kujiunga GPSA anisaidie kunipa muongozo
  3. eddy edo

    CCM ina vijana makini sana huku Mikoani ila sijui kwanini haiwatumii

    Hawa tumeshawaona wamepewa nafasi na kazi inaobekana
  4. eddy edo

    Mange achoma moto kadi ya CCM live

    Huu ni mwanya sio pengo who is Mange in Ccm?
  5. eddy edo

    CCM ina vijana makini sana huku Mikoani ila sijui kwanini haiwatumii

    Chama cha Mapinduzi ni moja ya chama ambacho kimejaliwa vijana wengi sana wasomi na wenye kujielewa na baadhi yao ni viongozi wa chama tena katika ngazi kubwa za kitaif, mfano Wajumbe wa NEC na CC Ccm naona kama ingekuwa njia sahihi sana kama vijana hao wangepata nafasi za kuitumikia serikali...
  6. eddy edo

    Arusha: Mahakama yaahirisha uamuzi wa rufaa ya dhamana ya Mbunge Lema hadi tarehe 20 Dec

    Haya mambo bana ila Lema atakuwa kanyooka kama bado baaas wamuache
  7. eddy edo

    ARUSHA: Mbunge Godbless Lema bado anasubiri dhamana, arudishwa Gerezani, Mawakili wake wakata Rufaa

    Kamuulize Lema maana yeye ndiye aliyeyaleta haya yote na akome
  8. eddy edo

    ARUSHA: Mbunge Godbless Lema bado anasubiri dhamana, arudishwa Gerezani, Mawakili wake wakata Rufaa

    Katika kiti ambacho Arusha walikosea ni kumchagua tena Lema =Wiki ya tatu Gerezani =Maana kwa sasa Lema ni mbunge Hewa Say No to Lema 2020
  9. eddy edo

    Ndege mpya zijazo alizosema Rais Magufuli akiongea na waandishi 4 november 2016

    Izo ela zote zinatoka wap kama nchi haifanyi biashara au haina vyamzo vya mapato kama makampuni ya ndega na nk?
  10. eddy edo

    UBUNGO, DAR: Uchaguzi wa Umeya waahirishwa

    Kinondoni vp?
Back
Top Bottom