Recent content by eddiez Jr.

  1. eddiez Jr.

    JamiiForums Tanzania Je, nitumie 'Application' gani kupima umbali?

    Tumia field Area measure inapima distance na Area kwa unit utakazopenda wewe. Inafanya kazi online na offline
  2. eddiez Jr.

    JamiiForums Tanzania Kuhusu QR code

    Sina mashaka na uwezo wako mkuu
  3. eddiez Jr.

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada (Computer Networking)

    Router inaweza fanya kazi ya switch ila switch haiwezi kufanya kazi ya router Sent using Jamii Forums mobile app
  4. eddiez Jr.

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaejua duka linalouza vifaa vya network

    Natafuta duka linalouza vifaa vya computer network kwa Njombe au sehemu nyingine kama wanatuma njombe nipate mawasiliano
  5. eddiez Jr.

    JamiiForums Tanzania Biashara ya software outsourcing

    Siku hizi sio lazima sana utumie muda mwingi kudevelop system from scratch. Kuna open source marketi nyingi ambapo unaweza nunua mfumo unafanya customization kisha unauza. Mfano ni envato market. Nawaibia mchongo developers.
Back
Top Bottom