Recent content by eddie_e87

  1. eddie_e87

    Mambo muhimu ya kuzingatia wakati kuchagua kampuni utakayonunua hisa zake katika soko la hisa D.S.E

    Nime-upload file la Excel ambalo lina taarifa mbalimbali za fedha za makampuni yaliyo orodheshwa DSE kutoka mwaka 2019 hadi 2023... password : JAMII
  2. eddie_e87

    Kampuni bora katika soko la hisa la Dar es Salaam, 2022

    ninachojua na kujifunza hii sio kitu cha kukufanya utajirike kwa haraka bali inahitaji muda mrefu kutajirika na usalama wa fedha ama mtaji wako mkubwa sana
  3. eddie_e87

    Kampuni bora katika soko la hisa la Dar es Salaam, 2022

    ninachojua na kujifunza hii sio kitu cha kukufanya utajirike kwa haraka bali inahitaji muda mrefu kutajirika na usalama wa fedha ama mtaji wako mkubwa sana
  4. eddie_e87

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Habari nimevutiwa na uzi huu, ila ningependa kujua gharama ya uendeshaji kutoka vifaranga mpaka kuanza kutaga (kununua vifaranga+chakula na madawa) na pia gharama za maandalizi ya banda?
  5. eddie_e87

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Ukiwa unalenga kuwa na kuku 900 ni vizuri ukanunua vifaranga kati ya 1000 - 1200 ili ukipitia changamoto za utunzaji wa vifaranga mpaka kufikia umri wa kuanza kutaga ubakiwe na hao 900 ama zaidi. Hii itakusaidia kutunza makisio/makidirio yako vizuri pindi uzalishaji utakapoanza
  6. eddie_e87

    Mchanganuo wenye Faida kwa ufugaji Kuku wa Mayai

    Huo ni wastani wa kutaga kwa siku yaani kuku 1000 = mayai 700/siku na mayai 250 kwa kuku 1 kwa mwaka
  7. eddie_e87

    Ufugaji wa kuku wa mayai unaweza kumtoa mtu kimaisha?

    Mimi nafikiri hapo kuna gharama za awali kabla ya kufikia hao kuku 500 wanaotaga hauja tujumuishia kama; 1) kununua, kukuza vifaranga mpaka vifikie muda wa kutaga 2) mchanganuo wa gharama ya vyakula, madawa, ujenzi wa banda n.k 3) mengineyo (unforseen events) mawazo yako ni sahihi kama utakuwa...
  8. eddie_e87

    Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Aksante kwa uzi huu, naomba kujua unapatikana wapi na natamani hapo baadae kidogo kuanzisha shamba langu dogo la ufugaji wa kuku wa kienyeji aina ya kuchi hivyo ningeomba mawasiliano yako ya simu ndugu. Namba yangu ni 0754496249 na natarajia kuweka shamba langu Dar
  9. eddie_e87

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hii 6M ni kuanzia ujenzi, kununua vifaranga na kuvilea mpaka kutaga (miezi 6), chakula n.k. ama? kama ikiwa hivyo nitumie hiyo database il
  10. eddie_e87

    Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Maboresho kidogo ya uzi, 1. (Hivyo kuku 10 watakula kilo 1.3 kwa siku ambayo ni gram 1300) si kuku 10 bali ni kuku 11 hivyo ni gramu 1430 kwa chakula chetu kitatupeleka tabribani siku 95. 2. (Hapa kuku hawa 10 watakupa wastani Wa Mayai 8 kwa siku ambapo kwa mwezi ni Mayai 240) wastani wa...
Back
Top Bottom