Kwa wakazi wa Arusha wengi wanalalmika kunywa maji yasiyo salama hasa kipindi cha mvua. pamoja na kulipa bili kubwa za maji na nyingine za kubambikiwa kwa njia ya sms bado idara ya maji imelala. Invyoonyesha pump zilizopo kwenye vyanzo vya maji zinapeleka maji machafu kwa wakazi. nawasihi idara...
usinywe kabisa maji ya AUWSA mvua zikinyesha tu unachota matope kwenye bomba, hawa jamaa hawako serious kabisa hizi mamlaka za maji wanajua kudai bili hawajui matatizo ya wateja afadhali waweke Luku kama wakenya nadhani itakua kiama chao
na yale mapikipiki yanoyoongoza misafara ya viongozi nayo yanatega mingo rodini nadhani wale waendeshaji wanaona wenzao wanapiga bao na wao wakaamua kuzama mazima barabarani
TANESCO ni eneo la kuangalia kwa jicho la tatu, hawa jamaa wamebweteka sana na wizara yao kwa ujumla. yule afisa mahusiano anasema kulikua hakuna tatizo la luku ilhal misusruru ilionekana ikitafuta hiyo bidhaa upuuzi mtupu. nilienda kulipa bill pale magomeni mida ya saa sita wakanikatalia...
wana charges za kijinga sana, ukisahau password ya card lazima ulizwe 5,000 ku-resert. salio ndio usiseme. wabadilike bana maana huu ni wizi mcha kweupee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.