Recent content by Ebenezer112

  1. E

    Shuhuda: Hata kama hujaolewa na umefikisha miaka 40, usikate tamaa zamu yako yaja

    Face ya huyo dada inamuonyesha kwamba hayuko happy kabisa na ndoa yenyewe,,,!!! Au wadau mnasemaje,,? Wazee wa "Body Language".
  2. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Sawa,,,
  3. E

    Mpaka kufikia 2020, Lowassa anaweza kua na Wafuasi wengi sana.

    Habari Wadau,, Tafadhali tembelea post yangu ya Dawa ya Kansa inapatikana , ili nipate comments za kutosha na mawazo mbalimbali juu ya biashara yangu.
  4. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Habari za mchana,, Unanifurahisha Sana, unafikiri watakuruhusu kuweka kambi kwenye hospitali za serikali alafu dawa zako zinafanya kazi,,,? Madaktari wakiona umati unakuja kwako na sio hospitalini tena,, basi watajiunga wakuletee timbwili ambalo sizani kama utaweza kulishinda,,,!!!
  5. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Asante Sana interface, Wala Usiwe na Shaka, huyo mgonjwa akitumia dawa hii kwa mwezi mmoja tu atakua ameona mabadiliko makubwa Sana,, Wala hatuitaji kuandikia mate wakati wino upo,,,,
  6. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Habari, Ni utapeli upi tena au hauja soma comments zangu za hapo juu,,? Sitozi mtu pesa kwanza mpaka ametumia dawa bure kwa mda wa mwezi mmoja hadi miwili,,, Sasa huo utapeli uko wapi,,,?
  7. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Habari alphonce,, Mimi napatikana Mbezi Beach (Jogoo). Namba zangu zipo hapo juu kwenye post yangu. +255 625 595557;
  8. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Asante Sana Mokoyo, na sio hivyo tu,, hata baada ya kusema kuwa ninatoa dawa bure kwa dozi mbili za kwanza bado watu wananiita tapeli na mkosefu wa ajira, na wakati hata bado sijarudisha gharama za utengenezaji wa dawa zangu,, Sijui ingekuwaje kama watu wangejua kwamba nimetumia zaidi ya...
  9. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Wala hata sikuelewi unachozungumza,,? Mimi ndo kwanza nimeanza kujitangaza wala sikuwahi kuwa na hospitali yeyote,, Na huyo doctor Ngwara ndo kwanza namsikia kwako,, kama kweli unataka msaada basi njoo usaidike, lakini si vizuri kusingizia watu ili waonekane matapeli,, sio vizuri hicho kitu...
  10. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Asante Sana Nashukuru.
  11. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Aaah,!! Basi mi nlifikiri bradley ni ndugu yako ambaye yuko England. Sasa mimi ninatoa msaada kwa waTanzania wenzangu tu,, na sio waingereza,, kabda kama unamfahamu mtu yoyote mtaani ambaye anaumwa kansa basi ntampa dawa bure bila malipo kwa miezi mmoja hadi miwili mpaka atakapoona mafanikio na...
  12. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Habari za Mchana Robert, Kwanini nijifiche jina langu na niandike jina ambalo sio langu eeh,,? Hilo hapo ndo jina ambalo nimepewa na wazazi wangu, kwa hiyo unataka nilikatae kwa sababu sasa ninataka kufanya biashara au,,,? Tafadhali naomba unisaidie kwasababu dawa zangu nimeshawapa watu wa...
  13. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Habari za Mchana fazam,, Bado nasubiri hizo contacts za bradley sababu nilikua nachat na kaka yangu ambaye yuko Yorkshire na ameniambia yuko tayari kumpelekea huyo bradley hizi dawa, sasa ww nitumie hizo contacts za Bradley alaf mi nitamtumia dawa kwa DHL.
  14. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Unamba unipe contacts zake ili niweze kumtumia kwa sababu kuna ndugu zangu wako Uingereza nitawapa alafu watampelekea,, Chakufanya wewe nipe hizo contacts za brafley alafu mimi ntampelekea,,,
  15. E

    Dawa ya kansa inapatikana!!!

    Nashukuru Sana Moses2015 naamini Mungu atanisaidia,,,
Back
Top Bottom