Shuhuda: Hata kama hujaolewa na umefikisha miaka 40, usikate tamaa zamu yako yaja

Ila wanaume ni majasiri, yaani kafiwa mwaka jana, mwaka uliofuata akafunga pingu za maisha! mmm ukiona hivyo labda alikuwa anamjua huyo bibie hata kabla my wife wake hajaaga dunia!

Yaani kizee kama hicho kikinioa mie mwenye umri mdogo nitahakikisha ile jioni nakiogesha safiii, nakipaka mafuta ya mgando mwili mzima (babycare) nakafunika blanketi zitoo kanatoka jasho mie naenda zangu misele kupigwa miti ya uhakika:D:D
Kwani kizee hakikupigi miti
 
ahahaaa shost unatisha ila akofu katisha zaidi
 
Ila wanaume ni majasiri, yaani kafiwa mwaka jana, mwaka uliofuata akafunga pingu za maisha! mmm ukiona hivyo labda alikuwa anamjua huyo bibie hata kabla my wife wake hajaaga dunia!

Yaani kizee kama hicho kikinioa mie mwenye umri mdogo nitahakikisha ile jioni nakiogesha safiii, nakipaka mafuta ya mgando mwili mzima (babycare) nakafunika blanketi zitoo kanatoka jasho mie naenda zangu misele kupigwa miti ya uhakika:D:D
huogopi ukimwi mkuu.?,
 
Face ya huyo dada inamuonyesha kwamba hayuko happy kabisa na ndoa yenyewe,,,!!!

Au wadau mnasemaje,,? Wazee wa "Body Language".
 
Nampongeza huyo askofu kwa kuoa kwa haraka,amemshinda shwetwani kwani angeliweza kuanza kuchepuka na waumini naw nyie nyie mngesema toka mkewe atangulie mbele ya haki amekua mkware kwa waumini, ila namshauri akiona utu uzima unamkamata asiache kutumia cha kongo kwa kua haijakatazwa kwe nye neno
 
Maisha ya siku hizi kidigitali! Mwanamke ukifikisha miaka 40 hujaolewa anza kutafta hela kwa nguvu , ikifika 45 , tafuta mwanaume oa.
 
Swali langu ni jee atamuweza huyo dada? Maana huyo dada anaonekana bado mbichi kabisa yani anahitaji mwili wa mazoezi at least round za uhakika yani dada ndio aombe poo na sio mzee vinginevyo atakua kawasogezea vijana
 
Kugonga mke wa baba mchungaji ni laana, wanawake wengine kama pesa ipo kule ambako mwanaume hafiki doldo linamalizia mkuu.
 
rubii, japo mitatu. hata hivyo wanaume ni tofauti na sie wanawake! sidhani kama ingekuwa yeye ndie kafariki mama angeolewa fasta namna hiyo! halafu swali la kujiuliza yaani ndani ya mwaka mmoja alimtafuta lini huyo mchumba, aka mstudy hadi kufunga pingu za maisha!
hivi wewe huwa ni ke ? hahahahahah lolz
 
Ila wanaume ni majasiri, yaani kafiwa mwaka jana, mwaka uliofuata akafunga pingu za maisha! mmm ukiona hivyo labda alikuwa anamjua huyo bibie hata kabla my wife wake hajaaga dunia!

Yaani kizee kama hicho kikinioa mie mwenye umri mdogo nitahakikisha ile jioni nakiogesha safiii, nakipaka mafuta ya mgando mwili mzima (babycare) nakafunika blanketi zitoo kanatoka jasho mie naenda zangu misele kupigwa miti ya uhakika:D:D
hahahaa
 
Kugonga mke wa baba mchungaji ni laana, wanawake wengine kama pesa ipo kule ambako mwanaume hafiki doldo linamalizia mkuu.
Pesa unaiyona ya maana kama hujaishika lkn ikishakua mkononi ukala vizuri, ukavaa vizuri na kulala pazuri kiujumla zile shida ndogondogo za kukufanya uwaze hazipo basi hitaji lingine muhim kwa mwanamke ni kupata mkunaji mzuri unless tunadanganyana
 
Hizo siri maranyingi mahouse boy wanazijua na huwa unakua ndio mwanzo wa wao kuongezewa mishahara na marupurupu ila likizo NO kisa majukum mazito
 
Back
Top Bottom