Recent content by Ebe

  1. Ebe

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Polisi ina mapungufu makubwa: Sakata la dereva wa serikali kutoa silaha na kumtishia dereva wa SATCO Dodoma

    SASA HIVI TANZANIA KUNA WATU AMBAO WAPO JUU YA SHERIA NDO WALE WALIOUA WATU OCT 29
  2. Ebe

    JamiiForums Tanzania Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

    Unasema ni matatizo ya kisaikolojia? Inamaana haufahamu kabisa sababu?
  3. Ebe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ilifanya Uchaguzi Wa Mwenyekiti Chama Kikapasuka na Kusambaratika . Halafu Utaona Wanabetua Midomo wanasema Wanaweza Kuongoza Nchi.

    Wekeni KATIBA MPYA HAPA tutajua kama wamepasuka au hawajapasuka, kupiga tantalila haisaidii kitu. KATIBA, KATIBA KATIBA baasi msitutoe katika reli, mlisema ndani ya siku 100 bado mnaruka ruka tu
  4. Ebe

    JamiiForums Tanzania Napenda Kumjibu Mzee Warioba Ya Kuwa CCM Itaongoza Taifa hili Hadi Mwisho wa Dunia Na Ataicha ikiwa Madarakani. Aache Chuki Binafsi Kwa Rais wetu

    Unatumia VPN kuingia humu bado unatetea waliofungia hili jukwaa. Pumba kibaaaaoo WEKENI KATIBA MPYA hapa acheni porojo kupotezea mambo ya msingi
  5. Ebe

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Mhuri(Rubber stamp) wako ukitaka kuutumia unawezaje kukukatalia? Unaurambisha wino unagonga kazi imeisha.
  6. Ebe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Tutakuja kusikia alihusika na MO29 aliyafadhiri. Ukitaka kumuuwa mbwa mpe jina baya
  7. Ebe

    JamiiForums Tanzania BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

    Umechelewa sana kufahamu kuwa CCM = BAKWATA
  8. Ebe

    JamiiForums Tanzania Hii kitu ya mabasi yote kuhamia stendi ya Magufuli imeumiza wengi

    Hawa watu sijui kama wanafikiria vizuri Dar sio sawa na mwanza au mbeya. Dar kuna watu zaidi ya milioni 5 barabara zimejaa mafoleni kutegemea stendi moja sio sawa. Wanajiangalia wao tu wapate mapato hawaangalii usumbufu watakaopata wananchi
  9. Ebe

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe: Watumishi tulioajiriwa JUNI 2022 hatujapandishwa madaraja wala kulipwa Malimbikizo ya Mishahara

    Kiongozi unazifahamu taratibu au unajiandikia tu. Juni 2022 unataka upande daraja leo? Upo serious??? June 2022 - May 2023 Probation, June 23 - May 24 Year 1, June 24 - May 25 Year 2, June 25 - June 26 Year 3. Unapandaje sasa wakati mwaka wa 3 ndo kwanza umeingia??
  10. Ebe

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CHADEMA Kanda ya Kaskazini ajiuzulu nafasi hiyo na kujivua uanachama

    BAJETI YA MANUNUZI YA BINADAMU IMESHAANZA KUFANYA KAZI. WATU HAWANA AKILI UNAPOTEZA PESA KUNUNUA WATU UNAFIKIRI WATAISHA? YAANI AKITOKA HUYO ANAKUJA MWINGINE USIKUTE NDO ATAKUWA WA MOTO ZAIDI. MNAHARINU PESA ZA WALIPA KODI
  11. Ebe

    JamiiForums Tanzania Njama ya awamu ya 5 ya kuunga mkono Juhudi yarejeshwa tena, Mlengwa mkuu ni viongozi wa Chadema

    Wasichokijua watanzania wanataka Chama pinzani cha kikweli chadema imefanikiwa kupata taswira hiyo kwa watanzania. Hivyo hata wakifanikiwa kumnunua Heche na Lissu bado haitasaidia itaonekana tu na wao walikuwa mamruki kama ilivyokuwa kwa Mbowe. Watapoteza tu pesa zao bure
  12. Ebe

    JamiiForums Tanzania CAG: Shirika la Ndege ATCL limepata hasara Tsh Bilioni 191.91. Ni ongezeko la 108% ndani ya mwaka mmoja

    Yaani wewe unahisi kuna siku ATCL itatengeneza faida? Shirika linaloendeshwa kisiasa na CCM!! Never, unaota gentleman amka utajikojolea. Labda watangaze faida ya uongo ili kufurahisha jamii, lakini faida ya kweli kwa ATCL katika kipindi hiki cha ushindani wa kimataifa kwa mashirika ya ndege...
  13. Ebe

    JamiiForums Tanzania Compare and Contrast Mfungo Mwezi Mtukufu wa Ramadhani vs Kwaresma. Waislamu hadharani, Wakristu ni sirini!, Nani ni sahihi kutimiza mapenzi ya Mungu?

    Hiyo sura al_baqarah : 183 inasema "Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamungu." Swali; Je hao walioandikiwa kufunga kabla ya waislam ni akina nani? Ni akina nani waliokuwa wanafunga siku 30+6 kabla ya waislam ? Ramadhani ya kwanza...
Back
Top Bottom