Africa hakunaga wanamapinduzi..
Wote wanapigania matumbo yao tu..
Ushahidi ni hao hao kina Taylor baada kupindua hawakufanya lolote zaidi ya matanuzi.. kuna model anaitwa naomi campbell amekula sana almasi za liberia alizokuwa anahongwa na charles taylor.. halafu bado akamsnitch mahakamani...
Na mzungu analijua hilo.
Kwanza lazima atatengeneza jeshi la kabila lake ili limiliki rasilimali za nchi nzima.
Mzungu anachofanya anawapa makundi pinzani silaha ili mfyatuane maana anajua hatuna umoja.
Gigy ni kiki kiki... naikubali hiyo nyimbo yake..
Na usikute anatengeneza kiki nyingine.
Ila kuna yule sijui amber lulu ana kipaji sana cha mziki ila ndio wenge jingi kawa cha pombe hatari
Sio inawezekana, ndivyo ilivyo.. wayahudi washiawahi kukaa hapo kama watumwa.. lazima waliacha mbegu hapo.. hata egypt pia.. tunachukuliaga poa history ya kwenye Bible
Yule mtoto Patrick aliyefariki alikuwa anakandikwa mapiko na mablack kwenye nywele hata miaka 5 sidhani kama alikuwa kafika.. mixer ma make ups na mapicha picha mengi mtandaoni.. hivi hayo makemikali hayana madhara kweli kwa watoto?
Na hapo ndipo Israel anapowazidi waarabu..
Sasa ndugu wa huyo jamaa anayeuliwa hadharani wakitangaziwa dau la maana na Israel watoe taarifa kuhusu maficho ya kiongozi wa hamas watakataa kweli?
Sio mtaalamu sana ila nahisi kipindi kile JK alienda kupigana kabisa upande wa serikali ya Congo.. Hii sasa hivi wana observe tu kama walivyokuwa majeshi ya ufaransa kipindi flan zamani hapo drc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.