Recent content by eastmea

  1. eastmea

    JamiiForums Tanzania Aliyah presenter mwenye kila kitu!

    [emoji122][emoji122][emoji122] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. eastmea

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanasha hakubaliki kwa Diamond Platnumz?

    Unaweza kushangaa hii mada kaleta mwanaume. Naombeni wanaume mbadilike msiwaige Dada zetu mambo ya umbea hiyo ni furaha yao wao.inatakiwa tujadili mambo ya maana kidogo,afadhali ungeleta mwenendo wa msanii mwenyewe kwenye bongo fleva , sahv Nigeria wanazidi kitupiga gape kwenye mziki kutokana...
  3. eastmea

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Harmonize kujitoa WCB mwaka huu

    [emoji122][emoji122][emoji122] hapo sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. eastmea

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Harmonize kujitoa WCB mwaka huu

    [emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. eastmea

    JamiiForums Tanzania Wasafi festival vs Tigo fiiesta,tuacheni masihara

    Kiukweli nimekuwa mfatiliaji wa haya matamasha lakini tuacheni ushabiki wasafi festival ndio tamasha bora kwa mwaka huu hii ni kutokana na A list ya wasanii wanaofanya vizuri mwaka huu kiribia wote wanatoka wasafi alafu katika swala la mauzo ya ticket wasafi ndio wanaoongoza kwanii ukifatilia...
  6. eastmea

    JamiiForums Tanzania Team Domo ( Matusi boy) hawaamini walichokiona Tigo Fiesta Dar.

    Hatutaki picha za upande upande tuleteeni za drone kama tulizokuwa tunaziona upande wa pili
  7. eastmea

    JamiiForums Tanzania Wasanii wote wa Wasafi Festival wapigwa ban Clouds

    Kwahyo
  8. eastmea

    JamiiForums Tanzania Kwanini hili gazeti limchafue Diamond kiasi hiki?

    Unazungumzia umaarufu UPI?? Maana hapa home kuna madogo hawamjui hata rais wa nchi yao ila ukiwatajia tuu diamond na jate Lee kama vile baba zao
  9. eastmea

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] daah comments yako inafurahisha
  10. eastmea

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wimbo mpya wa Harmonize x Rayvanny.

    Chambua nawewe mkuu maana unashombo kama mtoto wakike[emoji120]
  11. eastmea

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wimbo mpya wa Harmonize x Rayvanny.

    Hakuna anayebisha hii ndio ngoma Kali ya kufungia mwaka. Huu wimbo kiukweli ni mkali kutokana na jinsi walivyotambaa na beat, baada ya Harmonize kuingiza verse ya kwanza kisha Rayvanny kuingiza inayofatia, kiukweli kabisa Rayvanny alikuwa amemfunika Harmonize lakini baada ya Harmonize kuingiza...
  12. eastmea

    JamiiForums Tanzania Shukrani clouds

    Tumekuelewa[emoji13] [emoji13] [emoji13]
  13. eastmea

    JamiiForums Tanzania Diamond anapata wapi kiburi cha kuidharau BASATA na kuimba wimbo uliopigwa marufuku?

    Hivi kumbe Kenya kuna Basata
  14. eastmea

    JamiiForums Tanzania Msanii Diamond Platnumz anunua private jet

    Duu huyu jamaaa kadri siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kufanya maajabu
  15. eastmea

    JamiiForums Tanzania Diamond anafaa kuwa na demu kama huyu

    Sasa ww unataka awe naye mala ya ngapi huyo si ni kate ashatembea naye toka 2012
Back
Top Bottom