Recent content by East African

  1. E

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Agwe tulia basi mbona unawashwa
  2. E

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Utakuwa umepigwa na kitu kizito Agwee. Sio Kwa povu Hilo bila Shaka utakuwa wa Mkoka au Mbandee
  3. E

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Mungu ampe nguvu afike ili kuondoka Hili wingu
  4. E

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela. Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana. Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma? Acha tuone.
  5. E

    #COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

    Hapo sawa sio tunadanganywa tupige nyungu Yaani tumetoka mbali jsman
  6. E

    Khalid Ally Gangana, mtangazaji anaeibukia vizuri kuwakilisha utangazaji wenye weledi

    Ila Yuko poa sana anaweza kufika mbali Sana. Big up kijana!
  7. E

    Wimbo wa CHADEMA 'Tuwamwage mafisadi' ulikuwa hamasa kwa vijana

    Na ule wimbo wa Msigwa umeishia wapi. Yerico alichangisha hela ili akauboreshe lakini kaingia mitini.
  8. E

    Nini tafsiri ya Megawatts 2,115 za umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (Stiegler's Gorge)?

    Mkuu huu uchambuzi wako ni wa kisiasa zaidi sio kitaalam Kwa sababu zifuatazo:- 1. Mikoa uliotolea mfano wako hawana matumizi ya umeme kabisa Kwa kuwa hawlkuna viwanda vingi wala migodi. 2. Wananchi wa mikoa hiyo wengi ni maskini na hawana umeme na matumizi Yao mengi ni kuwasha taa. 3. Jenho...
  9. E

    Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV kwa kurusha habari kwa usawa kwa vyama vyote

    Azam ndio kila kitu. Wanajithidi Sana na pia weledi wa Hali ya juu sana.
  10. E

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli kuendelea na kampeni Dar es Salaam

    Huelewi nn sasa Dar ndio mkoa wenye wapiga kura wengi lazima akomae. Sasa nyie endeleeni na kutafuta Kura maeneo ya watu wachache.
  11. E

    NEC haijazuia Lissu kufanya kazi za Chama

    Kwa mujibu wa Ofisa wa NEC amesema kuwa Lissu kazuiwa kufanya kampeni lakini hajazuiwa kazi za chama. Anaruhusiwa kufanya shughuli za Chama isipokuwa kufanya kampeni za urais, Ubunge na udiwani. Chanzo: Clouds habari.
  12. E

    Uchaguzi 2020 Faida ya Prof. Kitila kwa Ubungo, Dar

    Bora Kitila kuliko Yule mhuni Boniface anayejua fujo kila siku
Back
Top Bottom