Recent content by easha

  1. E

    Kwa Mshahara huu CCM msitafute Mchawi

    Hapo umenena maana wengine humu hawana akili yeye huyo anayesema walimu Dv 4 tokea lini aliona chuo kukuu kinapokea watu wa dv4 ? You must speak with evidence ! Mungu akusamehe maana unaonekana huna busara wewe
  2. E

    Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

    Du? Ingekuwa wastani ni 50 kama SAUT ingekuwaje? Nahisi wangeondoka karibia wote
  3. E

    Bubujiko la mishara kwa walimu

    wewe naona akili zako zimefikia mwisho wa kufikiri : there is logic thats fallacy ! :kijana mwenye akili huwezi kuandika kejeli kama hizo! KAMA HUONI CHA KUANDIKA KAA KIMYA
  4. E

    Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro chageuka kituo cha kulelea wajawazito.

    Haya bwana ! Ila itakuwa ni huzuni mwisho wa siku baada ya kumaliza chuo kama hao watoto wataenda majumbani bila baba zao
  5. E

    Machinjio kufungwa mashine maalum

    Nafikiri hili ni jambo la msingi ili kuwe na usawa wa dini zote nyama zitakuwakwenye packages zinasambazwa IT CAN BE THE SOLUTION
  6. E

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Tutaongea mengi kuhusu nani anafaa 2015;tutawataja wengi lakini nahitaji kuwakumbusha jambo moja wadau kwamba sisi wanadamu huangalia sura ya nje yaliyo ndani hatuyajui; MI NAFIKRI HUU NI MUDA MZURI WA KUMLILIA MUNGU ILI ATUPE VIONGOZI WAZURI WANAOTUFAA 2015 MUNGU ANAWAJUA VIONGOZI WAZURI...
  7. E

    UDSM haipaswi kuikashifu UDOM

    Mi sidhani kama hili ni jambo la muhimu kujadiliwa na wasomi kama sisi wakati nchi yetu ina matatizo kibao ambayo tunatakiwa tuyatatue! O-level ndo wanatakiwa kujadili mambo kama haya! Lazima wasomi tujadili mambo ya maana bwana!
  8. E

    PICHA: Matukio mbalimbali ya jengo lililoporomoka leo jijini Dar

    Jengo limeshaanguka kama hivyo;watu wamepoteza maisha,mali zao na mengine mengi, kinachotakiwa ni serikali kuangalia swala hili la ujenzi kwa upya ,kuweka mikakati mbalimbali ili kuzuia mambo kama haya yasitokee tena
  9. E

    Muuaji wa Padri Evarist Mushi Akamatwa kwa msaada wa picha iliyochorwa na FBI

    Sawa ! Sisi bado tunasubiri kuona mwisho wa hili zoezi zima ni nini kuwa ni siasa tu au kweli serikali ipo serious na jambo hili
  10. E

    Nehemia Msechu kwa nini asijiuzulu; kubomoka gorofa ya NHC

    Hata mimi nafikiri ni jambo zuri wakajiuzulu wawaachie wanaoweza majukumu hayo;si hivyo tu bali kama wanahusika kwa njia moja au nyingine katika ubadhirifu huo basi wawajibishwe na hasara iliyopatikana irejeshwe
  11. E

    Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam lawashikilia Mkandarasi Mkuu na Mhandisi wa Wilaya

    Tanzania tunakwenda wapi ? Mimi nahitaji kujua hawa makandarasi watachukuliwa hatua gani hii sio mara ya kwanza jambo kama hili kutokea ;miaka ya juzi lilianguka jingine kariakoo lakini sina uhakika kama wahusika walichukuliwa hatua! uongozi tulionao kwa sasa sio wa kuzuia matatizo bali ni ni wa...
  12. E

    Ni uwezo wa Zitto Kabwe au CHADEMA?

    Kwa kweli Tanzania kwa hali tuliyo nayo tunahitaji mabadiliko; mabadiliko hayo yapo mikononi mwa wenye nia ya kuleta mabadiliko hayo ; ni vizuri kuwatia moyo na kuielimisha jamii isiyojua chochote kuhusu uchafu unaofanywa na serikali ya sasa; si vizuri kuwachafua wanaharakati hawa ambao wanawaza...
Back
Top Bottom