Wakuu naomba msaada kwa yeyote anaejua machimbo bora ya mashuka nje na kariakoo ni yapi? Maana huwa naskia tu mashuka ya Uganda, Taiwan, UK, Turkey Nk ila sijajua exactly ni wapi naweza pata tofauti na vitu vingine ambavyo ukihitaji unaenda kucheki Alibaba.
Kwa wanaojua naombeni msaada wakuu
Sasa naanza kuiona Tanzania na Africa iliyokusudiwa, elimu na uzalendo wa watanzania kwa taifa lao. Kuhoji ni kutaka kujua nini kimefanyika vipi, sio tu kukokotwa Kama mambuzi na watawala, we need to challenge them ili kabla hawajafanya Jambo wafikirie Mara 2.
Shida iliyobaki Sasa ni uwepo wa...
Habari gani mabibi na manabwa, karibuni tulijadiri hili.
Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta matokeo chanya kwa taifa? Je katiba ndio chanzo cha mikopo isiyokuwa na ulazima?
All in all ebu...
Habari gani ndugu wananchi?
Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar.
Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho...
Tangu ujio wa chama kipya cha siasa UPT kumekuwa na maneno mengi yanayozungumzwa chini chini hasa uhusika wa baadhi ya viongozi waliohudumu katika awamu ya 5 ndani ya CCM kuhusishwa na chama hiki.
Baada tu ya kusikika kilipotea ghafla. Ukimya huu unasababishwa na mkono wa Serikali juu ya hiki...
Nachoshindwa kuelewa ni kuona watu wanahusisha masuala ya nchi na ukabila, mbona kama Taifa tulishatoka huko miaka mingi?,
Uwepo wa vyama tofauti katika nchi huchangia sana maendeleo zaidi ya vile watu tunadhani. Ebu ifike wakati tuache kuhusisha masuala ya kitaifa tuki ACT kama ni usimba na...
Tuweni tu wakweli hapa bila kupata chama imara ccm itaendelea kufanya kila itacho jiskia kufanya coz hakuna mtetemo wowote unao watisha na kuwafanya kuwa macho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.