Recent content by Eagle wa Bongo

  1. Eagle wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni njia rahisi kujitia nuksi, balaa na umasikini

    Uhhhh... Apo linanyonya nini!??
  2. Eagle wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni njia rahisi kujitia nuksi, balaa na umasikini

    Kweli kaka. Unachokifikiria ndo utakuwa hivyo. Usiwaze nuksi kurogwa wala sijui mashetani. We Fanya kazi kwa kutegemea mafanikio , kinyume na hapo utahangaika mwishoni na wewe utakuwa mganga Wa kienyeji.
  3. Eagle wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya kusini ina tatizo gani,hivi ni elimu au ushamba?

    Hiyo kweli kabisa. Hata kwenye mikoa ya watu pia wana ako katabia. Pia wanapenda sana KUSUSA. Yani kitu kidogo tu basi AMESUSIA. Watu Wa kusini kama mpo humu ebu tuelezeni kulikoniii? Mimi Niko mikoa ya kaskazini uku kuna MTU Wa huko Lindi nafanya nae kazi ofisi moja, yani Huwa anapenda sana...
  4. Eagle wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola wewe ni Waziri, jitofautishe na Mgambo wa Kijiji

    Kaka ndio kiki zenyewe izo. Akikaa kimya kama yule atatumbuliwa. Lazima aoshe kwenye Camera Mkuu. Bila kifanya kiki utaonekana hufanyinkazi na utatumbuliwa tyuu..
  5. Eagle wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikianza kufanya mapenzi na mke wangu mtoto wetu mchanga aliyelala fofofo anaamka na kulia?

    Like father like son. We unafikiti hiyo tabia ameitoa wapi? Amerithi kutoka kwako mkuu
  6. Eagle wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Nasubiri kwa hamu sana maamuzi ya JWTZ dhidi ya ' Twiti ' ya Zitto Kabwe kwa kuvitaja vifaa vyao vya Siri Ngerengere

    Wewe Akili zako ndogo sana. Nchi inaongozwa kwa misingi ya sheria. Sasa unafikiri kisa ametaja hivyo watamkata wampige. We ni kibaraka
  7. Eagle wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Lipumba: CCM ielezee namna walivyoshinda uchaguzi mdogo kama sio hila:Kama hamtaki vyama vingi mseme

    Siasa za Bongo ni Mazingaombe tuu.. Tanzania hakuna democracy.
  8. Eagle wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Kumiliki gari kunaficha umasikini

    Ukiwa nayo uandae na pesa za kuwapa Traffic.
  9. Eagle wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

    Hahaaa .. We jamaa hujielewi pumbav. We ulitaka amfanyeje? Usipoangalia atafanya nae mapenzi mbele yako. We msela bwege. Dunia pana pambana mtoto wa kiume usipende kubebwaaaa..
  10. Eagle wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Dah ni taarifa ya kusikitisha sana. Mungu awanusuru.
Back
Top Bottom