Recent content by EAGLE BOYZ

  1. E

    JamiiForums Tanzania TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

    mamaland Tanzania siku zako za furaha na bashasha naona zikiyoyoma kwa kasi ya barafu juani.... eeh Mwenyezi Mungu tunusuru na yatakayo fuatana na maamuzi yeyote ya Mwendokasi....kwa maamuzi haya tujiandae kuingia kwenye kumbukumbu za vitabu vya dunia
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua boom j8, naomba ushauri

    bei gan
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wabunge kuungana sababu kuu ni vyeti feki

    Huu mchezo wa kuwa mnatuamisha kwenye mada zenye tija kwa ajili ya kulinda chama chenu CHAKAVU ukome.....!
  4. E

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe Leo atafikishwa mbele Ya kamati za maadili kujibu mashitaka yake

    Mijadara na fikra huru kuendelea kunyongwa ni kiashiria cha kupiga hatua nyuma katika kuifikia demokrasia ya kweli...!
  5. E

    JamiiForums Tanzania DAR: Tani 3,000 zenye thamani ya Bil. 5 zakutwa kwa Mohamed Enterprise na Mkuu wa Mkoa, Makonda

    Ebu jaribu kujifikirisha kidogo uone ni kwa namna gani wafanyabiashara wanavyoendesha biashara zao il waweze kutengeneza profit...Tambua chanzo cha haya yote ni maamuzi ya kukurupuka yaliyofanywa ndo maana leo hii tunamtafuta mchawi....weka taratibu wezeshi kwa wafanyabiashara waagize sukari...
  6. E

    JamiiForums Tanzania DAR: Tani 3,000 zenye thamani ya Bil. 5 zakutwa kwa Mohamed Enterprise na Mkuu wa Mkoa, Makonda

    Ifike hatua maigizo yafike mwisho wake.....kama taifa hatuwezi kufika kule tunakohitaji endapo tutaendelea kuwa na viongozi wanaoshindwa kukubali makosa yao na KUJISAHIHISHA..uhaba wa sukari umesababishwa na maamuzi ya kukurupuka ya viongozi wetu wakuu...TOKA LINI SUKARI YA MATUMIZI YA VIWANDANI...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Deni la Taifa lafikia trilioni 33.5, NEC yamulikwa, Mishahara hewa na Ukwepaji kodi..

    hawa watu wanakera mpaka basi...hivi wanaficha nn...?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taratibu za maombi ya kujiunga na elimu ya juu kwa wale wenye sifa equivalent

    Habari zenu wanajukwaa....! Ningependa kufahamishwa juu ya maombi ya kujiunga na elimu ya juu nchini kupitia nacte na tcu...kwa wale wenye sifa equivalent I.e diploma au ftc wanaruhusiwa kuomba mpaka april 10 mwaka huu...ombi langu kwenu wadau naomba mnipe maelekezo ni kwa jinsi gani naweza...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku-unlock nokia Obama (tochi)

    Wadau naomben msaada wenu wa jinsi ya ku unlock nokia obama kwa kuwa security code zake nimezisahau na ninaamin humu kuna magwiji watakaoweza kunisaidia common unlock code kwa simu za namna hii. NAWASILISHA
  10. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Water Supply and Sanitanion Engineering

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nimemaliza diploma ya water supply and sanitation engineering toka chuo cha maji DSM.Nafanya kazi zote zinazohusu miradi ya maji na survey. Phone number 0765653712.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Nipo tayari kukutana na UKAWA

    Kama ni kweli, itakuwa ni swala jema kwa mustakabali wa nchi na ukuaji wa demokrasia.
Back
Top Bottom