Recent content by EagerBee

  1. E

    JamiiForums Tanzania kanipa likizo mpaka kombe la dunia liishe.

    Hili kombe la dunia litavunja ndoa za watu
  2. E

    JamiiForums Tanzania Hisia zangu kwa marehemu!

    Kubali ametutoka na amepumzka kwa amani,ukichora tattoo ina mana unapinga maamuz ya mwenyez mungu kumchukua kiumbe chake,RIP Shem
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mliooa au Mnaotarajia kuoa Jiandaeni Kisaikolojia

    Duuuh huu utafit ni kwa Tz tuu au dunia nzima
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mahusiano

    Mkuu kwenu hujafundishwa kusalimia unapoanza kutoa mada au ndo stress
  5. E

    JamiiForums Tanzania Umenipendea nini?

    We wakwako umempendea nn
  6. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nifanyeje

    We ni kibobo
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni nahisi nina ngoma

    Mr eagerbee hamna nyngne ndo hiyo 2 mkuu and it was the worst nightmare in life. Anyway najaribu kufuata ushaur wa dr Do you think nina over react. Sidhani ka unaovereact I'm thinking you are hiding something
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni nahisi nina ngoma

    Mkuu sema ukweli cz nahisi kuna sababu nyngne inayosababsha ujihisi unangoma
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kwa mwanaume kufoka wakati wa tendo la ndoa?

    Muulize unaemgegeda atakupa jibu unalolihitaj
  10. E

    JamiiForums Tanzania Dume Challenge

    Hujajibu swali mkuu acha wenye majibu wayatoe
  11. E

    JamiiForums Tanzania Dume Challenge

    Habari wanaJF,kiukweli hiki kipindi kinachorushwa na ITV cha dume challenge nakipenda xana kwani kinaonyesha sifa za mwanaume wa Kweli.Kitu kinachonitatiza ni wale washiriki walitoka ina mana si wanaume wa kweli na hawatumii dume?naomba msaada wanandugu
  12. E

    JamiiForums Tanzania Msusi ananuka...

    Wanajamii wenzangu leo yamenikuta makubwa,nimeenda saluni kusuka yeboyebo ya Kilimanjaro(wadada wanaelewa staili ya msuko huu)nilisubiria zamu yangu ya kusukwa ilipofika nikakaa chini ndipo akaanza kusuka nywele za mbele apo hali ya hewa ilikuwa safi alipifika nywele za nyuma ndipo aliponambia...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufanya hivi kwa mpenzi wako?

    Nilimwachia, ila yeye hakunipa yake, nikasikia raha. We ni ----- kweli,ushaliwa
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje?

    Dawa ya moto ni moto do the same to her utaona anaumia kiasi gani asipochange mpitishe hivi
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mbona sijielewi jamani?

    Hujiamini
Back
Top Bottom