Recent content by E oxygen

  1. E oxygen

    JamiiForums Tanzania Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

    Kunavijiswali kama watamuliza na atavijibu sijui tuendelee kufurahia lkn
  2. E oxygen

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

    Njia za Mungu si kama za wanadamu yeye ndiye muhukumu wa haki hapangiwi na kiumbe chochote alichokiumba.
  3. E oxygen

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Shule ya Uongozi

    Kapona labda huwezi jua
  4. E oxygen

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Aikaeli Mbowe imeibua mengine yanayoendelea ndani ya regime. Shahidi wa pili ni Inspekta Mahita

    Mungu amejibu maombi ya wanawake waliosali mahakamani pale
  5. E oxygen

    JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Sitakuwa mvumilivu kwa yeyote atakayeandika habari zenye viashiria vya uvunjifu wa amani

    Asisahu kushoto inakwendaga sambamba na kilia, uzito ukiegemea upande 1 mtumbwi unapinduka.
  6. E oxygen

    JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Hivi mtu akilogwa na wachawi anakuaje, ningependa kujua hivyo isijekuwa tunawaonea watu hapa. Vilogo vingine huwenda HD
  7. E oxygen

    JamiiForums Tanzania Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

    mwanamke yake ni tamaa, mfano kwa tamaa yako ya mwili mumeo atakutawala, sasa hiweke kwenye pesa au Mali nk. Na kama tamaa yake sio kwako au pesa au Mali hamumtawali. kwa mujibu wa sayansi ya biblia.
  8. E oxygen

    JamiiForums Tanzania James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    A Aisee
  9. E oxygen

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu: CCM itabaki kuwa ya wanawake

    Aalaaah
  10. E oxygen

    JamiiForums Tanzania Watu walioratibu na kutekeleza kumpiga Risasi Tundu Lissu, ni Waovu kuliko hata Shetani Mwenyewe

    Mi nazani Mungu alitaka kuwaonyesha waja wake yeye zaidi ya shetani, kama hataki ufe haufi hata iweje, Julius ni shaidi ktk hili.
  11. E oxygen

    JamiiForums Tanzania Rais hajui kuzungumza na wananchi, ziara za njiani zisitishwe

    A Aisee!
  12. E oxygen

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, jukumu la kuwaondoa Wamachinga ni lako. Usilikwepe

    Mungu anisamehe sana, nilikuwa nafikiri ni kwanini korona imepata kibali cha kupunguza idadi ya watu wengi namna hii hapa duniani, kumbe ni miiba na michongoma ndio inaondolewa shambani wala sikujua. Natania anyway.
  13. E oxygen

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: CHADEMA imepata taarifa za Serikali kutaka kulazimisha kumfunga Mbowe kimkakati

    Humu duniani hakuna tarifa nzuri kama tarifa mbaya, mkikubali kuwa ni gaidi iwe kweli au si kweli, hiyo program ya utali ni bure coz hakuna mtali atakaye taka kuja ili apate tabu ya kulipuliwa. Na nchi jirani wakanufaika na ujinga wa watu wachache. Mtaelewa siku kilogo kitakapo expire akilini...
Back
Top Bottom