Habari wanajamvi, naomba mwenye ufahamu juu ya mnada wa Magari bandarini. Hasa kwenye uzima wa hizo gari, na taratibu za kukamilisha umiliki. Je ina usumbufu na gharama zaidi au kuna unafuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisarawe, Kibaha, Bagamoyo..., na nyingine kama 10 hivi. Huwa nawafatilia sana, ingia website yao utaona. Wako vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, hilo tayari lilishaanza kwa baadhi ya Halmashauri. Taarifa za uhakika ni kwamba huo ndio utaratibu utakaotumika kuanzia awamu ya pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia ni mpinzani, lakini kwa hili la TASAF naipongeza sana serikali. Iliona mbali, wamana walikua wanaogopa hata kupeleka watoto clinic, hata nguo za kujifunga hawana. Acha kubeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wasema, alieshiba hamjui mwenye njaa. Hiyo hapo chini ndio hali halisi iliyopo vijijini, sasa kaya kama hizo zikipatiwa ruzuku bado unasema ni upotevu wa kodi. Hao wote ni watanzania wanamuangalia rais wetu wa wanyonge Mh. Magufuli. Acha serikali ifanye kazi. Sio yote ya kupinga
Sent using...
Ungejaribu kufatilia taratibu za ugawaji wa hizo ruzuku. Ki msingi kuna ruzuku inatolewa kwa kaya maskini lakini pia yapo malipo ya ziada kwa baadhi ya hizo hizo kaya maskini zinazoshiriki katika utekekezaji wa miradi i.e ujenzi wa barabara(community roads) kwa sehemu zile interior zisizofikika...
Wadau, pengine hili jukwaa sio mahala pake ila naomba ushauri juu ya hasa uimara wa engine na technical faults zozote kama zipo kwa gari aina hiyo. Sina uzoefu sana na Subaru. Ni hatchback, haina tulbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.