Afisa wa TAKUKURU mbaroni kwa kumbaka mtoto wa dada yake

Ingetosha kusemwa Mkazi wa Sumbawanga Hakuna haja ya kusema Afisa Takukuru kwa Kuwa tukio hilo halina uhusiano wowote Na ajira yake

Ni Sawa Na kutekwa kwa MO ingeanza kusemwa 'Muumini mmoja wa Shia Mohamed Dewji atekwa'

Au ingesemwa 'Mkristo mmoja apigwe Risasi' ikimaanisha tukio la Lissu kushambuliwa

Tujifunze kutaja wasifu wa Mtu kulingana Na tukio

Mf. Pascal Mayala akutwe Na Tuhuma Za kukwepa kodi uzihusishe Na u member wake wa JF
 
Acha Nidhamu ya Uoga ww kijana. Tunasema Wadhifa wake hili iwe fundisho kwa wengine.
 
Msichana huyo amedai amekuwa akifanyiwa vitendo hivyo na mjomba wake tangu Septemba, 2018.
Amebainisha kuwa mtuhumiwa huyo mara kwa mara anapotoka kwenye starehe zake na kurejea nyumbani akiwa amekunywa pombe alikuwa na tabia ya kumnywesha pombe, kuanza kumbaka na kumwingilia kinyume na maumbile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyu dada nae tangu 2018 mwezi wa tisa yuko kimya mpaka mwaka huu.!!!!
 
Ingetosha kusemwa Mkazi wa Sumbawanga Hakuna haja ya kusema Afisa Takukuru kwa Kuwa tukio hilo halina uhusiano wowote Na ajira yake

Ni Sawa Na kutekwa kwa MO ingeanza kusemwa 'Muumini mmoja wa Shia Mohamed Dewji atekwa'

Au ingesemwa 'Mkristo mmoja apigwe Risasi' ikimaanisha tukio la Lissu kushambuliwa

Tujifunze kutaja wasifu wa Mtu kulingana Na tukio

Mf. Pascal Mayala akutwe Na Tuhuma Za kukwepa kodi uzihusishe Na u member wake wa JF
TAKUKURU ni miongoni mwa vyombo vinavyohusika na law enforcement nchi hii! Mantiki iko hapo; aliyepaswa kusimamia sheria kavunja sheria - hiyo ndio habari! Mfano wako wa MO na Lissu ni irrelevant katika muktadha wa habari hii.
 
Aibu sana kwa TAASISI yake na Serikali kwa ujumla. Familia imekuamini huenda dadako ndiye alihasso ukassoma upate hiyo ajirra, ahsante yake ukamwambia utamsomeshea mwanaye mwisho wa siku UMEMGEUZA UMBERRUTYY?? Una laaaana
 
Sasa huyu dada nae tangu 2018 mwezi wa tisa yuko kimya mpaka mwaka huu.!!!!
Eti kachoka ndiyo maana kaenda kuripoti!
Mimi nipo njia panda kuegemea upande wa mlalamikaji.
Ubakaji ufanyike kipindi cha nusu mwaka unnyamaziwe muda wote huo, uje uibuliwe leo na muathirika akiwa ni binti keshavuka rika la utoto, mwenye kujua jema na baya!
Nadhani huyo binti ali-'fall in love' kwa penzi la huyo kibaka, lakini baadye wamekorofishana tu ndiyo katafuta 'jiwe' la kumtwanga nalo kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko mikoani hakuna mademu au inakuaje? Watu wa mikoani wana ukwiru sana sasa kukaa na mtoto wa dada yako tu inakua shida..
 
Ahadi hazitekelezwi na mjomba anafumua mpaka mabanda ya uani kwenye stoo ya nafaka. Isiwe tabu. Polici hangaikeni na huyo mchawi ikibidi mfungeni n kazi mfukuzeni. Mimi ninaki na aibu ya kuliwa rear gate
 
Usihukumu ukaja kuhukumiwa.
Sisemi hajafanya, ila haijadhibitishwa na mahakama.
Labda mjomba kawa mkali kwa binti azingatie masoma aachane na masoud, binti kamgeuzia kibao?.
Au chuki za ndugu?. Yote yanawezekana.

Maisha yamechange, kuwaacha watoto wawe wa kiume au wa kike na ndugu sio salama tena. Ni kuwa makini tu.
 
Wewe NGONO ndio unanipa ushauri????? Au ni macho yangu
 
Back
Top Bottom