Naomba ushauri, nataka kununua Subaru Impreza 1.5l ya mwaka 2010

e nkwasi

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
384
500
Wadau, pengine hili jukwaa sio mahala pake ila naomba ushauri juu ya hasa uimara wa engine na technical faults zozote kama zipo kwa gari aina hiyo. Sina uzoefu sana na Subaru. Ni hatchback, haina tulbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,789
2,000
Kama wewe Mpenzi msomaji ni #TeamToyota mwenzangu unaeamini kwa kuanzia kama una hela ya kawaida tu basi anza na Toyota kama ndio gari yako ya kwanza gonga like kwenye hii comment ili tujuane na twende pamoja sawa sawia kabisa.
 

morphine

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
3,373
2,000
kama njia zako hakuna kukaa kwenye foleni zaidi ya nusu saa kamatia, zina "aleji" na mwendo wa kobe na zinamalizia hasira kwenye tank ya mafuta. :D
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom