Recent content by Dzonga - Afrique

  1. D

    JamiiForums Tanzania Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS likiwasili nyumbani kwake

    Hao ni sehemu ndogo sana ya TISS
  2. D

    JamiiForums Tanzania Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS likiwasili nyumbani kwake

    Vijana wanapenda sana recognition ndani ya jamii, hususan those coming from poor backgrounds.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS likiwasili nyumbani kwake

    Vijana wanapenda sana TISS. It's a psychological thing I think.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS likiwasili nyumbani kwake

    "Haya ndiyo vilaza" Usiwaite hivyo mkuu. Huo sio uungwana kwa binadamu wenzako, unless kama wamekukosea. NB: Mimi sio TISS
  5. D

    JamiiForums Tanzania Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

    Tena vyuma sio vya kitoto kubabake
  6. D

    JamiiForums Tanzania Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

    Daaaah kummke. Kuna was€nge watakuja kusema ni A.I generated. Iran shikamoo. Vuma vizito sana hivi mkuu. Kilometers 2,000 ndani ya dakika 7 tu.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

    Daaaah kummke walahi. Hahahahaa mkuu huu mzigo umeutoa wapi?? Mambo mazito sana haya mkuu ujue?? Dooh
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania punguzeni "romantic scenes" kwenye harusi. Unamlisha mwenza keki "kinywa kwa kinywa" mbele ya wakwe zako Seriously??

    Huyo jamaa anajizima tu data. Atakutia njaa tu Bure.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Waonyesha uwezo wao Tel aviv na Jerusalem hapakaliki

    Mkuu, hii masika ni balaa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Waonyesha uwezo wao Tel aviv na Jerusalem hapakaliki

    Mkuu, hii mvua ya wapi hii mkuu?? Hahahahaa
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA ina kwama wapi kutumia chopa kwenye mikutano yao ingawa kwasasa imezuiwa kufanya mikutano kwasababu za kisheria?

    Gentleman please ninakuomba saana uufuate ushauri wangu, utakuja kunishukuru baadae. CCM watakudanganya tu uwe mzalendo, lakini hawatakupa uteuzi wowote ule.
Back
Top Bottom