Recent content by Dzigbode

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kuliko kuwaambia watu kuwa mimi ni bahili, si bora uwaambie tu sina hela? Angalau utanipunguzia matatizo

    Mimi Ntu akiniita bahiri namuita yeye ombaomba
  2. D

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanaume anaejielewa lazima awe bahili? Toa maoni yako

    Hapa umetetea nn mkuu?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Dodoma kuna uswazi kweli?

    Sijawahi kufika Dodoma. Nahitaji kufika sasa. Mwenyeji yupo wapi humu.???
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Dodoma kuna uswazi kweli?

    Mkuu naomba tuchat private
  5. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mitumba inayopita Bandari ya Dar haina ubora, ni michafu, imechakaa, ni tofauti na ile inayopitia Nairobi, kuna kitu hakipo sawa

    Thamani ya PESA ya Tz na Kenya ni tofauti sana. HILO MKALITIZAME.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kama Hujui Waulize Wanaojua: Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Shida makala zako nyingi zimejikita upande mmoja. Ww ni miongoni mwa SUBJECTIVE HISTORIANS.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kama Hujui Waulize Wanaojua: Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Ukiachana na ulevi wa POMBE kuna huu ulevi wa UDINI.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Uzi wa fursa kwa watafutaji na wajasiriamali

    Salam kwenu wakuu. Nimeanzisha uzi huu tuweze kupeana connection za kimaeneo na fursa zilizopo kwa sisi watafutaji na watu wa kujilipua. Karibuni tujadili Kwa upande wangu nipo tukuyu. Fursa za ndizi, na tangawizi zipo za kutosha.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Malezi magumu ya utotoni ndiyo yaliyonijenga kuwa mtu wa kanuni na utaratibu mpaka leo

    Mtoa post kwa sasa bado upo kilemakyaro au wapi, nataka nikuulize?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka

    Upo sahihi mkuu, ndiyo ninachokifanya sasa, bidhaa moja kwa kuwalenga watu husika tu. Inalipa.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Sikugonga Kitu Chochote, Lakini Nilipata Ajali: Simulizi ya Tukio la Kushangaza Lililonibadilishia Eneo la Kazi

    Hii hali imenitokea leo asubuhi nikiwa naelekea kazini. Pamoja na kwamba sijaanguka ila pikipiki imetoka kabisa barabarani. Uzuri ni kwamba sikushika breki za ghafla au kuilazimisha kurudi barabarani maana kwa kufanya hivyo lazima ningeanguka. Tahadhari...... Unapokuwa barabarani na pikipiki...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu na viongozi kuandamana mwezi mzima kabla ya tarehe 7/7 si ajabu wakaahirisha tena wakapanga tarehe nyingine

    Jina linasadifu. Kiswahili Tambi. Ka-hali ya kudogosha 🤣🤣🤣 Hivyo Ka-tambi yani kadogo sanaaa
Back
Top Bottom