Recent content by dyzle

  1. dyzle

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Baada ya kuona hiki alichozungumza Putin na viongozi wa Afrika kuhusu makubalioano waliyosaini Ukraine na Urusi akionesha na documents ambazo ndio mara ya kwanza Urusi kuzungumzia hili na mengine bado hakuweka wazi ni dhahir Urusi walikuwa tayari kuitisha SMO. Urusi ilirejesha majeshi nyuma...
  2. dyzle

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nilichokuwa naamini mimi warusi wako vizuri nyanja nyingi tu, niliamini kaspersky ndio most famous and secured antivirus word wide. Lakini pia smartphone like Yotaphone (first dual screen smart phone) ipo masoko ya west angalia spain na nchi nyengine kibao, kiufupi products ni nyingi sana ila...
  3. dyzle

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    The most intresting kwene huu mjadala nikuwavua nguo baadhi ya wachambuzi na walimu waliyokuwa wakitupa materials ya maana kwenye siasa za kidunia haswa geopolitics and military specifications. Kibaya most of knowledgebles like MALCOM LUMUMBA hawaonekani kabisa kwa kulinda heshima zao na naunga...
  4. dyzle

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    This is real T14 Armata i knew, i do respect you mwalim shida mimi kama pro Russia najua kuchanganua Ukizidisha mahaba unaishusha heshma yako tupo wengi ambao tunapita kimya kimya ila Alhamdulillah tunauwelewa mkubwa wa kupambanua
  5. dyzle

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jesus Mlokozi ninachokiona kwenye hizi videos (nyingi sikuhizi) zimekuwa zikitumika na Ukraine pamoja na western allies kwa ajili ya propaganda za kuamsha misaada zaidi. Mostly have been used as a strategy to entice and engage western communities that Ukranian fronts line are in urgent need of...
  6. dyzle

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu T14 Armata nilikuwa nakuheshimu na naendelea kukuheshimu ila kwa msaada wa elimu unaotupa jukwaani, lakini tangia kuanza mgogoro wa Russia na Ukrain umekuwa shallow na sio kwa udhaifu wahoja zako lakini pia mahaba kwa team Pro NATO. Kiufupi mdau alimaanisha wataalamu wa umoja wa mataoifa...
  7. dyzle

    Lini tutakuwa Nchi moja, Serikali Moja? Jamhuri ya Tanzania isiwepo kabisa ile Muungano

    Ndugu kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar mabadiliko km hayo lazima waamue wenyewe. Katiba inataka kama wazanzibar wapige kura ya maoni kuamua hivyo hata kama bara wataamua kwa upande wao basi ni bure tu
  8. dyzle

    Lini tutakuwa Nchi moja, Serikali Moja? Jamhuri ya Tanzania isiwepo kabisa ile Muungano

    Kama unavyoona zinatumika mbinu na hila tofauti kuitawala Zanzibar ndivyo dalili zinaonesha wazi Wazanzibar wamechoka na mwisho unakaribia. Ilo la kuifanya Zanzibar mkoa halitowahi kutokea sababu ndilo litakalo iweka huru zaidi ya vile wewe unadhani. Vuta picha kipindi cha mihadhara ya uamsho...
  9. dyzle

    Marekani anafikiria kuwawekea vikwazo vya kusafiri viongozi wakuu wa Chama cha Kikomunisti cha China

    Kuna muda tufikirie hivi vikwazo vya marekani vina athari kiasi gani kulingana na kile wanachotuaminisha kupitia vikwazo hivyo. Ni kweli vina athari ya moja kwa moja ni publicity kuaminusha dunia km wao hawashindwi. Kwa mfano vikwazo hivi vitawazuia viongozi waandamizi wasiingie US ama...
  10. dyzle

    GE2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

    Ifike mda hata wale ccm maslahi waungane na wazanzibari wenzao kujikomboa kama walivyojaribu 2009 chini ya Karume Jr. Vyenginevyo wakubali tu kutawaliwa chini ya mwinyi ni mbili kuelekea moja maana yake ndo wameyazika mapinduzi rasmi. Yupo kwa mslahi ya waliomchagua, si mzanzibari halisi na...
  11. dyzle

    India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

    Inaonesha India alipigika kweli maana mpaka walidakwa China returns 10 Indian soldiers captured during bloody border clash in Himalayas – reports
  12. dyzle

    Tetesi: Russia imeingia Libya

    Hata kama utagoogle unaziona ni dual screen but masoko ya kwetu hayaziona hizi bad. Soko lake kubwa ni China
  13. dyzle

    Tetesi: Russia imeingia Libya

    Wanazo Smartphone zinaitwa Yotaphone
  14. dyzle

    Wazanzibari 40,000 wafungua kesi mahakamani kupinga uhalali wa Muungano

    Ndugu inaonekana mgeni wa kuagiza bidhaa Zanzibar, kihistoria Zanzibar ni hub ya biashara Mashariki nanukanda wa bahari ya hindi kabla na baada ya ukoloni, Kuna mazingira mbinu zilizotumika kuuwa uchumi wa zanzibar na lengo likiwa ni kuudhofisha -kutodha ushuru wa haki ya juu kwa bidhaa kutoka...
  15. dyzle

    Wazanzibari 40,000 wafungua kesi mahakamani kupinga uhalali wa Muungano

    Itafakari ndo kinyume chake, ivi unahisi wazanzibar hawajatathmini hayo, rudi kipindi cha Salmin Amour hali ya uchumi ilikuwaje kwa pande zote mbili. Nakupa, kuna madeni tanganyika inadaiwa waliokopa Zanzibar na ule mgao EA bank baada ya kuvunjia jitie hamnazo tu kuna mengi
Back
Top Bottom