Recent content by DxR

  1. D

    JamiiForums Tanzania Makonda: Awamu ya 3 imekamilika, tukutane ukumbi wa Mwl Nyerere

    Tobaaaa Chalinze....
  2. D

    JamiiForums Tanzania TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Hahahaaaa!! Ni shidaaaa!!
  3. D

    JamiiForums Tanzania TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye, amesema Televisheni ya Taifa imeacha kurusha LIVE kipindi cha Bunge kuanzia jana ili kubana matumizi. Na itakuwa ikirekodi baadhi ya matukio na kuonyesha usiku. Kama mtanzania, unadhani unatendewa haki?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa kugombea tena Urais Mwaka 2020, asisitiza yupo fiti

    Hakuna Kula Hakuna Kulala Mpaka WABAGUZI wanang'oka
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nape amjibu Lissu: Kama CHADEMA mnachukia ufisadi, mfukuzeni Lowassa

    Tumechoshwa na mipasho ya CCM kama bendi ya taarab. Kila siku habari ni hiyo hiyo. Hamna jipya. KAMA FISADI MPELEKENI MAHAKAMANI
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta wa kubadilishana maeneo ya kazi

    Anatafuta wa kubadilishana Ni mwalimu wa shule ya msingi... Nipo Wilaya ya Temeke.... Natafuta mtu wa kubadilishana maeneo ya kazi... Nahitaji kuhamia Wilaya ya Kinondoni. Wasiliana na namba hii 0718043983
  7. D

    JamiiForums Tanzania WAMEZOEA KUHARIBU BAADAE WAOMBE MSAMAHA

    Chama kinachofanya siasa za kibaguzi, hakifai kuongoza wananchi... HAKUNA CHOTARA HAKUNA MWAAFRIKA WOTE WAZANZIBARI
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi: Machotara Hizbu, Zanzibar ni nchi ya Waafrika

    UBAGUZI! UBAGUZI! UBAGUZI!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna Demokrasia

    Kama NDIO tetea jibu lako Kama HAPANA tetea jibu lako
  10. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamuru waliovamia shamba la Sumaye waondoke

    Wamejitekenya wenyewe Wamecheka wenyewe Waliovamia shamba la Sumaye waondolewa =================== Chanzo: Mwananchi
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ni mwendo wa visasi tu

    Tutakumbuka mengi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA ni wazembe wa kutupwa

    Mbona hujiulizi kwanini atangazi Baraza la Mawaziri mpaka sasa? Siasa mchezo wa kuviziana... Tulia usikie wanakuja na lipi. Akili za kubemendwa sio wakati wake huu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Kati ya sherehe za Uhuru na Mwenge wa Uhuru, Kipi kilistahili kuzuiliwa?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mama John Pombe azungumza na wanawake wa Chato

    Picha tumwone
Back
Top Bottom