Natafuta wa kubadilishana maeneo ya kazi

DxR

Member
Jun 5, 2015
71
39
Anatafuta wa kubadilishana

Ni mwalimu wa shule ya msingi... Nipo Wilaya ya Temeke.... Natafuta mtu wa kubadilishana maeneo ya kazi... Nahitaji kuhamia Wilaya ya Kinondoni.

Wasiliana na namba hii
0718043983
 
Njo Wilaya ya TUnduru mimi nije ,Songea Manispal ,Idara ya Shule ya Msingi 0687 535650
 
Back
Top Bottom