Duh. Ni ngumu. Lakini mimi nilishashuhudia kwa macho yangu mdada wa miaka 30+ alimnunulia baba yake mzazi boxer ambae alikuwa kalazwa hospitalini.
Ipo hivi nilikuwa na muuguza nugu yangu katika hospitali moja ambayo ina vyumba vyenye vitanda viwiliviwili katika room. Sasa huyu manzi akamleta...
Naishi wilaya x. Kila mwisho wa mwezi huwa naenda mkoani kupeleka taarifa. Huwa na tabia nikisha maliza mambo yangu natafuta chimbo nakula afu tembelea danguro moja maarufu napiga kimoja nasepa.
Siku moja nikatembelea pale na sikupata nilie ridhishwa nae nkaamua kusepa. Nkaenda standa kungoja...
Yawazekana kabisa maana alisema kabisa anaona sir God hajampangia mimi, lakini nshatulia na wangu nakuoa nimeoa. Na yeye hata sijui anaendeleaje.
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Ongea na mkeo afu beba mwanao. Ila jiandae kisaikilojia mkeo hata lipokea vizuri pengine. Cha muhimu leo watoto wako.
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Wanawake wengi wa kizazi hiki hawawezi fanya hivyo. Ila ki ukweli wanaume wengi wanapenda mwanamke wa style hii. Atakae hudumia familia. Mimi na mpongeza sana. Nikifikia umri wa kuoa ntaoa mama wa nyumbani na ntamuhudumia kwa kila kitu.
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.