Sababu ipi ilifanya mpenzi wako awe Ex wako?

Na sisi tulioachana kabla ya kugegedana, na sio ni tuna ex's? Au ndio labda tuwatafute but sipendi kuwa experience ya kuwa na ex bila sababu maalumu.
 
Binafsi nilikuta kwenye simu yake kanisave "KIBERENGE" na hiyo ilikuwa ni line ya Voda.. halotel nikakuta kanisave "KAMONGO"!

Baada ya kutafakari kwa kina nikaona nimuache tu nibaki na huo ukamongo wangu nimuondolee jam mtoto wa watu!!..

Wewe je, ni sababu ipi ilikufanya mpenzi wako awe ex wako..??
Aliongea na mwanaume mwngine nkiwa nae geto nkaona n dharau nikaamua kupiga chin
 
Na sisi tulioachana kabla ya kugegedana, na sio ni tuna ex's? Au ndio labda tuwatafute but sipendi kuwa experience ya kuwa na ex bila sababu maalumu.
Nyie ndio wapenzi wapitaji..😂
 
alinitusi kua kwetu kuna njaa,sina akili ya maisha, nipo tu sijishughulishi,analisha na ananivisha, na kibanda kidg tulijenga akasema hakinihusu, kisa kidume niliyumba kama mwaka kwa kua sina kazi. niltumia hayo matusi kama changamoto. usije oa public servant wakati bado huna kazi, atakuvumila ila akichoka utajuta.
 
mwisho wa siku nilimwachia shuka tu.
 
alinitusi kua kwetu kuna njaa,sina akili ya maisha, nipo tu sijishughulishi,analisha na ananivisha, na kibanda kidg tulijenga akasema hakinihusu, kisa kidume niliyumba kama mwaka kwa kua sina kazi. niltumia hayo matusi kama changamoto. usije oa public servant wakati bado huna kazi, atakuvumila ila akichoka utajuta.
Duh! Mkuu pole sana ☹️
 
Tulikuwa wawili kwake, ila kibaya zaidi mm ndio nilikuwa second choice/ back up plan. Kwamba ingetokea situation ya kumlazimisha kubaki na mmoja, mimi ndio ningepigwa chini.

Nikaamua kujitoa, ila niliumia sana.
 
alinitusi kua kwetu kuna njaa,sina akili ya maisha, nipo tu sijishughulishi,analisha na ananivisha, na kibanda kidg tulijenga akasema hakinihusu, kisa kidume niliyumba kama mwaka kwa kua sina kazi. niltumia hayo matusi kama changamoto. usije oa public servant wakati bado huna kazi, atakuvumila ila akichoka utajuta.
Mkuu umeuaaa...!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom