Recent content by dvedastus

  1. D

    JamiiForums Tanzania Baba ambaka mtoto wake wa mwaka mmoja

    bila shaka anatafuta mali hapo ni nguvu za giza zimemsukuma kufanya hivyo,ila anahitaji adhabu kali sana
  2. D

    JamiiForums Tanzania Video ya mtoto wa miaka 14 aliyejifungua mapacha watatu....

    amekimbilia starehe za dunia sasa amepata majukumu makubwa kuliko uwezo wake,je huyo mzazi mwenzie si bado mwanafunzi? hapo akitaka msaada ni kwenda kwa wazazi wa huyo kijana aliyemzalisha kwani kwa maisha ya sasa mtoto mmoja tu ni shida labda kama wazazi wake wanazo haswa!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Watu wazima wakodisha wanawake wa kuwanyonyesha maziwa..

    tunakoelekea sasa ni majnga zaidi, je baadaya hapo anaenda kunyonyesha tena mtoto wake au? mbon wanataka kuwapa watoto ukondefu ?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Uchawi ni kazi inayofanyika kwa usiri. Majini ndio mtaji mkubwa wa Wachawi

    ni kweli yesu ni mchawi zaidi yao means hakuna anayemweza hapa duniani endapo utampokea yeye kamwe vichawi hivi vyenye digrii or mastazi ukiwa na yesu havikuwezi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wizi mwingine wa vodacom huu hapa

    ndiyo maana mkaambiwa KAZI NI KWAKO!!!!!!!!! so akili ku mkichwa yako
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ndugu wamkana na wamtimua mjane wa askari wa jwtz aliyeuawa huko darful...!!

    Siku hizi watu hujali pesa kuliko UTU, ni kheri huyo dada akaacha wafanye kama walivyoamua kwani kila kitu ni mapito tu yeye amshirikishe mungu na kumshukuru kwa yaliyotokea lakini hata kama hajafunga nae ndoa chozi lake halitapotea bure, wala hao na hizo mali na pesa zitayeyuka kama barufu...
  7. D

  8. D

    JamiiForums Tanzania CCM Mwanza waumbuka kanisani

    Japo kuwa wote waliofanya hivyo wanajua fika kuwa siasa dini havichangamani tuwasamehe bure
Back
Top Bottom