Recent content by duvet

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki Bukoba

    Weka wazi nia yako ni nn hasa kuna jambo unalificha
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hii ni maajabu

    Ila kiukweli nimesikitika sana kwa hili kwan sion kosa la dada wa watu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanamke alinikataa kabisa baada ya Mimi kijitambulisha kwake ni mwalimu

    Hivi kwann wanawake wengi hawapendi walimu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya "Dear X": Nini Kilivunja Penzi?

    Yan haya mambo yanawatokea wengi ingawa hawasemi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa

    Nipe namba ya shem nimshauri jambo
  6. D

    JamiiForums Tanzania KERO Responded MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji

    Yan hata mimi imefikia kipindi nawaza kuhama huu mkoa sababu ya tatizo la maji lisiloisha na ufumbuzi haupo mpaka sasa mamlaka hawana majibu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Maji yanayosambazwa na MWAUWASA ni ya kuchimba?

    Sio tabora nenda dodoma maji yapo masaa 24
  8. D

    JamiiForums Tanzania Roho imeniuma Sana, unahangaika kuhonga Mwanamke wewe unatumia Samsung yeye anatumia iPhone 16 promax

    Siku ukija kushituka utakuwa umechelewa sana ndugu cha muhimu mkalishe chini umwambie ukweli kuhusu maisha yako akizingua achana nae japo inauma naamini utakuja kumsahau
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kimekuwa mtihani kwangu, kila nikiitwa kwenye usahili nashindwa kujieleza

    gonga bia hata mbili kwanza kabla ya inteview kitakuja chenyewe bila kutumia nguvu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa kuchepuka na vijana wadogo?

    Kitu cha muhimu ni kulea watoto mtu ukianza kumchunguza hakuna ndoa
  11. D

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi tatizo ni nini?

    Sisi wakazi wa nyamongoro nyanguganwa tunateseka sana na swala la maji hii kero itaisha lini?viongozi mpo na hamsemi chochote tunaomba waziri wa maji achukue hatua kali ya kuwawajibisha watendaji kwa uzembe
  12. D

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde nawasihi: Msije mkachanganya bangi na meditation!

    Kwani bob marley mbona aliwsza
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanavyodanganywa na kudanganyana kuhusu ulimwengu wa kiroho kati yao na Wanaume.

    jaribu kufafanua kila kipengele kwa mifano
  14. D

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Mishangazi ya Miaka 50

    Mie naona mapenzi hayana umri
Back
Top Bottom