wadau ccm wamebanwa kila kona,wameamua kuwawekea wagombea nembo zisizo za vyama vyao ili kutupotosha wananchi.
Wagombea wa NCCR-MAGEUZI Wawekewa nembo za CHADEMA.
Mf: n kijiji cha SHUNGA
Source: mm mwenyewe npo huku
Hizi hapa ni sababu za CCM kupita bila kupingwa kwenye uchaguzi :
1: hujuma za ccm yenyewe
2: umakin mdogo wa wapinzani
3:kujiamini kwa wapinzani kwamba wanakubalika kumbe hawana hata wagombea
4:uongozi wa chadema kutokuwa na umakini na tumihuri tu
AKSANTE

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.