Ajira mpya za walimu kutangazwa rasmi tarehe 22/4/2016

Mar 5, 2016
39
62
Serikali inategemea kutoa ajira za walimu tarehe 22/4 /2016 . Mipango yote imeshakamilika kilichobakia na kutangaziwa tu na Waziri wa TAMISEMI.Taratibu zote zitatolewa siku hiyohiyo ya kutangazwa kwa ajira.
SOURCE : OFISI YA WAZIRI WA TAMISEMI.
 
kwa nini TAMISEMI inakigugumizi kuweka majina ya walimu tarajali!
Idadi inapungua kila siku.Mara elfu arobaini,mara thelathini na tano mara ishirini na tano yaani ni full kujikanganya ila ila kifupi,ajira za walimu ni mwezi julai suala la nani atapata nafasi na nani hatapata hilo ni hoja nyingine.Hata hivyo kipaumbele cha serikali kwa sasa ni Viwanda sio elimu.
 
Back
Top Bottom