Recent content by Duuma

  1. D

    Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

    So mchezo, huku upo vizuri balaa!
  2. D

    Ajali ya MV Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe bado Mawaziri?

    Kiongozi, sifa mmoja ya discussion za humu ni kwamba somehow mtaelewana at some point hata kama mko na mitazamo tofauti. Ila vijana wa yule mwalimu wa hisabati aitwaye polepole wanapenda sana kuwa "equidistant" na wengine. Kwa hiyo kama hauna mpango wa kuelewa huko mbele, tuendelee na mambo...
  3. D

    Ajali ya MV Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe bado Mawaziri?

    Anawawakilisha wanajimbo wenzake kwenye tawi tendaji(serikali) ambalo lina waliopewa mamlaka ya ziada ya kutenda(wateuliwa) kwa mujibu wa katiba.
  4. D

    Ajali ya MV Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe bado Mawaziri?

    Mzee kuna tofauti kati ya kiongozi wa umma, mtumishi wa umma, viongozi wa serikali etc. Huyo wa kuchaguliwa atajiuzulu vipi sasa au amekuwa kina waitara ?
  5. D

    Ajali ya MV Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe bado Mawaziri?

    Ndugu yangu miaka 20 sasa (1998-mv bukoba), na zingine nyingi hapa kati tuendelee kupeana tu pole bila kuambiana ukweli?. Lazima tuache ujinga wa kujisifia kuwa tuna uwezo wakati vitu vya msingi kama uhai wa RAIA wetu ni shida!
  6. D

    Rais Magufuli apata kifungua kinywa na Trafic wa Dar es Salaam leo baada ya kutoka kanisani

    Chai si anakunywa tu kila siku, tatizo ni jinsi matukio yanavyokosa ushirikiano, mfano mwingine ni uagwaji wa miili ya wapambanaji kwenye ule msiba mwingine na ufunguaji wa ka tawi ka benki...anyways ni mambo magumu kidogo kuelewa nafasi yetu wanyonge kwenye huu utawala!
  7. D

    Mbowe acha siasa za Matukio. Kivuko hakina vyumba.

    Kivuko hakina vyumba aka rooms!. Hivi una idea ya uokoaji na hatua zake?
  8. D

    Kama unadhani Rais Magufuli ’amechokwa‘ umekosea, bali Kenyatta na Museveni ndiyo ‘wamekinaiwa‘ kabisa!

    Ametumia reaction ya watu kupitia tukio la msiba kuonyesha kukubalika kwa jpm vs other east African Presidents. Kwa jinsi anavyojipambanua kuwa wa huko kwa Nyerere ,nilitegemea auzungumzie msiba huu kwa namna ya kutafuta solution bila ushabiki, kwa sababu hii ni mara pili wanapotea zaidi ya watu...
  9. D

    Serikali isikwepe uwajibikaji kwenye ajali za majini; chanzo cha ajali hizi ni uzembe wa watendaji wake!!!

    Hili ni andiko nzuri na very objective , serikali itimize wajibu wake wa kikatiba. Wenyeviti wa ulinzi na usalama tafsiri yake ni pana na inaonekana wanafikiri ni kupambana petty issues kama maoni kinzani kwenye mitandao!
  10. D

    Kama unadhani Rais Magufuli ’amechokwa‘ umekosea, bali Kenyatta na Museveni ndiyo ‘wamekinaiwa‘ kabisa!

    Mkuu Gentamycine, Mara nyingi nimekuona ukijinasibu kuwa wewe ni wa huko kulikotokea ajali, just know this is about hundreds of lost life siyo kuhusu ujinga wa kusifia kiumbe kinachojamba kama wengine na kisichoweza kuogelea hata kwa dakika 5 kwa sababu ya kibetri....usilete masikhara watu...
  11. D

    Joseph Selasini (Mb): Nimepigwa na kundi la vijana zaidi ya ishirini wa CCM wakiongozwa na Mbunge wa viti maalum CCM Mariam Ditopile mbele ya polisi

    Kesho tutarekodi video nyingi pia, halafu mseme kwani Jumuia za kimataifa zilialikwa?. ...achilia mbali kuwa waandishi wa habari au laah!
  12. D

    Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli Wake, Hata Kama Uko Kinyume cha Katiba, Sera na Ilani?.

    Kwa hiyo Jamaa ndiyo SI Unit ya ukweli?. Anyway, hapo kwenye kutokuweza kujizuia jamaa yetu ni kama Spiff wa the Johnsons, tunaweza kupata yaliyojificha kwa urahisi
  13. D

    Askofu Bagonza: Watawala wakizitumia taasisi hizi za Dini wajue kuna siku maadui wa watawala watazitumia pia

    ..Hapa imekaa shule(utafiti) na dhamiri , combo mmoja matata sana!
  14. D

    Lissu: Prof. Kabudi usiwadanganye watu, Waliopiga risasi marais wa Marekani walipatikana

    At least kulikuwa na uchunguzi, ripoti ikatoka, ...mambo ya conspiracy yapo hata kwa Princess Diana !
  15. D

    DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

    Pamoja na drama zoooote, rule of thumb ni kwamba ,while quality of wine improves with aging(generally),the quality and impact of juju/limbwata/.....either deteriorates with time or improves in opposite direction(Back fires)-Duuma studies.
Back
Top Bottom