Recent content by Dutta

  1. Dutta

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu biashara ya nafaka Dar es Salaam

    Kibanda cha cashier cha nini ukifungua sokoni kuuzia mlaji wa mwisho
  2. Dutta

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu biashara ya nafaka Dar es Salaam

    Hao wa mali kauli wana vigezo gani na wanaweza kukupa mzigo hadi wa kiasi gani
  3. Dutta

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu biashara ya nafaka Dar es Salaam

    Ina risk sana hiyo kaka Kuanzia inakopatikana hadi sokoni
  4. Dutta

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu biashara ya nafaka Dar es Salaam

    Kwa hyo ni bora kuchukua nafaka mkoani na kupeleka dar kuuza kwa jumla na siyo kufungua duka la nafaka
  5. Dutta

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu biashara ya nafaka Dar es Salaam

    Sawa ndugu yangu
  6. Dutta

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu biashara ya nafaka Dar es Salaam

    Kwa sasa niko kahama
  7. Dutta

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu biashara ya nafaka Dar es Salaam

    Ndo maana nikaandika huu uzi maana sina mtu wa karibu anayefanya hii kazi
  8. Dutta

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu biashara ya nafaka Dar es Salaam

    Wadau ninamtaji wa mil 9 ambazo nimezipata kwenye uchimbaji wa dhahabu. Ila nahofia kizirudisha kwenye uchimbaji maana ni kazi ya bahati. Natamani sana kufanya biashara ya nafaka dar, ila sina uzoefu. na yalikuwa matamanio yangu ya mda mrefu kufanya hii biashara. Tadhari mwenye uzoefu anisaidie.
  9. Dutta

    JamiiForums Tanzania Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

    Wakipatikana wengine 98 kama wewe basi paul sylvester, Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Dutta

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Kaka Naomba niongee na wewe private namba yangu ni 0765018129
  11. Dutta

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Jana ulitumika Ccm leo unataka mm nikuungishe move shenzatype sinunui ng'oo isomeni naomba. Mulitumika sana kutuaminisha ccm ndo mkombozi mbona mnaandamana?
  12. Dutta

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi wetu ni Ujambazi, Ugaidi au Retaliation? Nini kifanyike kukomesha hali hii?

    Hafu kitu kingine walikuwa wanatoka shift au ndo walikuwa wakimfuatilia huyu mharifu?
  13. Dutta

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi wetu ni Ujambazi, Ugaidi au Retaliation? Nini kifanyike kukomesha hali hii?

    Hivi ni majambazi au magaidi? Mimi nimesoma wanadai aliyewauwa ni mmoja. Na nimeachwa na maswali yafuatayo; 1) kama asikari waliuwawa wote no nani aliyeyeripoti ya kwamba aliyewaua maaskari wetu ni mmoja? 2) hivi ni jambazi au Gaidi? 3)Ni nani aliyeanza mashambulizi kati ya polisi na...
  14. Dutta

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo mtamtambua Rais Magufuli

    Watanzania mniombee!!! Malaika waishi kama mashetani!!!!!? Eti mpenzi wa Mungu!!!!! Pia Mzalendo na anaumia kuona rasilimali za nchi yake zikiibiwa!!!!! Ila hapa kazi na kweli kazi kama kazi zingine.....
  15. Dutta

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Mi ninawasiwasi na hii taarifa ukiangalia vizuri ni kama ya kutengeza hivi Ila ngoja tuone wahusika wa hizo container kuchukuliwa hatua
Back
Top Bottom