Recent content by Dupucoccu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Viwango vya Ubora FIFA: Tanzania yapaa kwa nafasi 22, Brazil yarejea nafasi ya 1 baada ya miaka 7

    Hongera Tanzania yngu umekua bora zaidi kwa upande wa Africa mashariki na kati
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tunajua namna ya kupata matokeo dhidi ya Simba - Cheche

    Niliyoyandika mchana yametimiaa atimae azam fc yamrambisha mnyama mla nyama koni aina ya strawbell
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tunajua namna ya kupata matokeo dhidi ya Simba - Cheche

    Azam yupo kwajili ya kuwashikisha adabu watani wa Jadi ktk kombe hili, alianza na yanga na xx mnyama anarambishwa nae konii
  4. D

    JamiiForums Tanzania Itakuwa kibao cha jeshi hakukiona...

    Wacha waipatee fresh ya jiji hao
  5. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Ili nchi inyooke ina hitaji rahisi ambae c mwanasiasa, hata km yy kapatikana kupitia siasa Rahisi ambae amejahaliwa upendo kwa binadam wenzake. Rahisi ambae si mvivu ktk kufanya kazi na anaeogopwa na wabadhilifu wa mali ya umma. Rahisi mwenye upendo na uchungu wa nchi yakee. Mungu...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

    Duh!, pole sana cstaa ila ushauri wangu kajiunge na jkt utakua poaa tuu
Back
Top Bottom