Viwango vya Ubora FIFA: Tanzania yapaa kwa nafasi 22, Brazil yarejea nafasi ya 1 baada ya miaka 7

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
IMG_20170407_082034.png

IMG_20170407_082119.png
 
Zikifika enzi za serengeti boys nina hakika tutakuwa kwenye 40 mpaka 50
Halafu kwa nini tusiwatumie kuanzia sasa au hairuhusiwi
 
TFF haina mipango endelevu
Rejea mashindano ya Super Cocacola na Airtel Rising Stars.
Hawa vijana ndio Golden Age yetu bongo.
Wakitunzwa hawa miaka minne ijayo tungekuwa na timu bora kabisa kama Senegal ya 2002.
Kweli mkuu sababu naskia kuna watanzania wengi wanacheza nje ila hawajulikani kama ni wa tz sijui wanataja ni raia wa wapi huko
 
Jamali Malinzi alishashindwa kuongoza mpira sasa hivi unaenda bora liende hakuna cha maana kinachoendelea. Amepokea toka nafasi za themanini mpaka kufikia mia hamsini haijawahi kutokea
 
Zikifika enzi za serengeti boys nina hakika tutakuwa kwenye 40 mpaka 50
Halafu kwa nini tusiwatumie kuanzia sasa au hairuhusiwi
Ninajiulizaga hata mimi kwanini hawa vijana wasitumike sasa .......Tena kwa kuongezea kwanini wasiingizwe kwenye ligi kuu tu,ili kama vipi iwe ni timu endelevu ???
 
kwa kuwa wanapiga kura sawa Spain wapo chini Belgium wapo juu kwa lipi zaidi Timu haijawahi kufika Nusu fainali ya mashindano yeyote yaliyoandaliwa na FIFA inabebwa bebwa tuu katika Ranking ili iweje sasa...
 
Back
Top Bottom