Kila rais ana kurasa yake kwenye kitabu cha nchi yetu...historia itahukumu..kwasasa tumuunge mkono rais wetu kwa nguvu zote...ingawa kitendo cha January ku abandoni mradi wa Stieglers Gorge na kuelekea "Kusini" kunanikosesha usingizi..ifike mahali tutofautishe kati ya miradi ya kisiasa versus...
Hiyo ni laana ya kihistoria..ukisoma story za biblia utagundua kuwa hata enzi ya Yesu watoza ushuru walikuwa corrupt sana na walichukiwa na wengu...kuna kipindi watu walimnasa Yesu "anakula na kunywa na watoza ushuru"...ikawa gumzo na kashfa kubwa sana mitaa ya Yerusalemu.
Motive ya mauaji ni nini? Wivu wa kimapenzi au wamedhulumiana kibiashara? Nop, haingii akilini sababu muhanga ni mtoto wa miaka 10!
1. Inawezekana ilikuwa accidental discharge...walikuwa wanacheza, kumbe baba aliiacha moja kwenye chamber.
2. Inawezekana muhanga alikuwa anaichezea, akajiipiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.