Recent content by Duplicate_90

  1. Duplicate_90

    Mtwara: Kamati ya Uchunguzi matukio ya mauaji yadai kubaini Polisi walimpora fedha mfanyabiashara wa madini

    Sirro anazaraulika sana na vijana wake.. mwingine kafanya yake kigoma!
  2. Duplicate_90

    Tetesi: Kuna uwezekano wa DPP Kufuta kesi ya Mbowe na wenzake Leo

    Bila mbowe makongamano hayawezekani? Mbiwe akifa na chadema itakufa?
  3. Duplicate_90

    Pemba: Mwenyekiti mpya ACT Wazalendo apokewa rasmi leo

    Duni ni duni km lilivyo jina lake! Zitto ameona aeke bua ili ampeleke anavyotaka.
  4. Duplicate_90

    Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

    Samia na Sirro walijitutumua kuwa ushahidi umekamilika na wanamashahidi wakutosha... Kwa upuuzi huu unaofanyika ni dhahiri kuwa kuwa DPP alimdangaya Rais na IGP.. kiukweli hawa watu hawana mashahidi... Ushahidi wao n wa kuungaunga sana! Serikali iache kuchezea kodi za wananchi kwenye kesi...
  5. Duplicate_90

    Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Swila aomba ahirisho kuwa hajisikii vizuri; kuendelea na ushahidi 10/02/2022

    Likitu ni ligonjwa alafu linahangaika kutoa ushahidi wa uongo... Kiapo ulichokula na dhambi unayotenda lazima upigwe strock ukiwa kizimbani... Siku yako ya mwisho ya kutoa ushahidi ndio itakua mwisho wa maisha yako hapa duniani na utaweka rekodi ya mashahidi wa mchongo waliofia kizimbani! Shit
  6. Duplicate_90

    Hali ya kukosa umeme haivumiliki na Watanzania siyo wajinga kiasi hicho

    Hayo maji yapo wapi ndugu yangu? Kwa taarifa Mbezi Mwisho hakuna maji bombani wiki imekata sasa! Ukishakua na serikali ya siasa za maji taka usitegemee kupata maji safi ya uhakika.
  7. Duplicate_90

    Simbachawene: Mali nyingi za Mitume na Manabii zimesajiliwa kwa majina yao binafsi wakidaiwa Kodi wanadai ni mali za Kanisa

    Majina ya sadaka km vile ya kujimaliza, fungu la kumi, shukrani, sadaka ya madhabahu, zaka, kutegemeza parish n.k
  8. Duplicate_90

    Mnaombeza Prof. Ndalichako, amesoma PhD University of Alberta Canada

    Wote tunakubaliana na kazin nzuri ya magufuli ila wasiojulikana walimharibia sana hayati!
  9. Duplicate_90

    Polepole, Silaa na Gwajima wataibwaga CCM Dodoma

    Kujenga hoja ili utetee dhulma ni ushetani.. watu walivokuwa wanateswa na kunyimwa haki zao za kuishi kwann hakujenga hoja za kuwatetea? Bila shaka alikaa kimya ili kutetea tumbo lake. Kwake yy tumbo n muhimu kuliko uhai wa wengine! Angekuwa kijana makini angepaza sauti na km wangekataa...
  10. Duplicate_90

    Polepole usikate tamaa kutetea rasilimali za taifa lako, watanzania wapo pamoja na wewe. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu.

    Ni mshenzi sana.. kwake yy kufukuza machinga anaona n dhambi kubwa kuliko mauaji waliyoyafanya wakiwa in power!
  11. Duplicate_90

    Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

    Prophet Lema ones said" mkimaliza wapinzani mtaanza kujibagua ninyi kwa ninyi"
  12. Duplicate_90

    Polepole usikate tamaa kutetea rasilimali za taifa lako, watanzania wapo pamoja na wewe. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu.

    Polepole anajaribu kujisafisha kwa utumbo alioufanya kipindi cha jpm. Unafiki umemjaa sana kikongwe huyu! Alihujumu uchaguzi 2020 saivi anajifanya anatufundisha demokrasia! Katika uongozi wao na bashiru watu walitekwa na kuuawa saivi anajifanya anatetea wanyonge! Katiba mpya n muhimu sana ili...
  13. Duplicate_90

    Polepole: Nimekuja Dar es Salaam 1988 na hadi leo ninadunda bila wasiwasi, maisha yangu hayategemei ubunge

    Kwahiyo kila anaeweza kuishi mjini akimtunishia Rais misuli hii nchi itakuaje? Polepole kuweza kwako kuishi bila kutegemea ubunge c kigezo cha kumtukana na kumdhalilisha Rais utakavyo.. ukome km ukivyokoma kunyonya ziwa la mama yako!
  14. Duplicate_90

    China: Hatuna nia ya kukamata mradi wowote Afrika kwa sababu ya mkopo

    Sisi wenye nchi tunataka mkataba uwekwe wazi! Kama ni mzuri mnafichaficha nn? Kwahyo Mseveni alivyokuja Tz mlikubaliana Balozi atoe press ya kutupumbaza?? Shame upon ur face!
Back
Top Bottom