Recent content by Duniahadaa

  1. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

    Mohamed usikatishwe tamaa na watu wachache wasiofahamu umuhimu wa historia.
  2. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mahakama Kuu yakataa maombi ya Tundu Lissu ya kutengua maamuzi ya Spika. Jaji asema itasababisha mgogoro Kikatiba na Bunge

    Kesi hii itumike kama rejea. Spika anaweza kufanya kazi yake bila kuingiliwa na yeyote hata Jaji
  3. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    LEO NI HUKUMU YA ALIYEKUWA DC MASHUHURI LENGAI OLE SABAYA. ENDAPO HUKUMU IKIAHIRISHWA TENA LEO, TUTAJUA KUNA JAMBO NYUMA YA PAZIA.
  4. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Vyama vya watumia maji vyasema Sabaya aliwapora mabilioni

    Hai. Bodi saba za watumia maji wilayani Hai, Siha na Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro zimeibuka na tuhuma nzito kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya aliwapora mali za mabilioni. Bodi hizo zimeiomba Serikali kuingilia kati sakata hilo ili warejeshewe mali zenye thamani ya...
  5. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Rais ana uwezo wa kuifuta sheria ya vyama vya siasa (Na. 5 ya 1992) inayoruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?

    Kama jibu ni ndiyo, Sheria ipi nyingine ana madaraka ya kuifuta bila kushirikisha Bunge?
  6. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

    hii kesi nayo bado inamsubiri atakoma jamaaa, endeleeni kumtetea pamoja na wale mabaunsa wake
  7. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

    Nimesikia mahojiaano yako ukisema kuwa Mkapa aliviponda vyama vya upinzani. JE, UMESOMA KITABU CHAKE? Katika kitabu hicho aliona kuwa TUME YA UCHAGUZI NI JUMUIYA YA CCM na ni kikwazo katika ustawi wa demokrasi. kwani haiwezi n haijawahi kutend haki. TUNA MAPROFESA MAJALA WENGI!
  8. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli: Dunia imeshuhudia Watanzania walivyokuwa wanampenda Magufuli

    kwanini mnawasaka wanaosherehekea?
  9. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

    https://mwanahalisionline.com/magufuli-mkiniletea-wale-hampati-maji/
  10. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Baadhi ya Vyama kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais Magufuli hakifai

    https://www.voaswahili.com/a/polisi-wazuia-maombi-maalum-kwa-ajili-ya-tundu-lissu/4031563.html
  11. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Lissu yapigwa "Stop" Sumbawanga

    Ya Mungu mengi
  12. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtanzania hasa mwanatunduma, kataa huu ubaguzi, ikataeni CCM kwa kishindo

    huyu mtu hakuwa mbaguzi?
  13. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Lissu yapigwa "Stop" Sumbawanga

    Alizuia LISSU asiombewe na yeye wakazuia asiombewe https://www.voaswahili.com/a/polisi-wazuia-maombi-maalum-kwa-ajili-ya-tundu-lissu/4031563.html
  14. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Je, Huyu Mkalimani Ramazani hajui kusoma? Kwanini aliweka dole gumba?

    Ni yule wa dodoma leo
Back
Top Bottom