Mahakama Kuu Dar, imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Spika Ndugai kwa kumtambua Mwambe kama Mbunge baada ya Kujiuzulu

wewe unashangaa hilo?

Kajionee namna sarikaki hii ya awmu ya tano, namna ilivyodhamiria kuupeleka muswada bungeni, ambapo itakuwa "marufuku" kwa mtu yeyote kupeleka shauri mahakamani linalohusu uvunjwaji wa Katika ya nchi, kwa viongozi wakuu wa nchi, ambao ni Rais, Makamu wake, Waziri mkuu, Spika wa Bunge na Jaji Mkuu!

Je kuna maana gani kwa viongozi hao wakuu wa nchi, kuapa kuitetea Katiba ya nchi kabla hawajakabidilhiwa madaraka hayo??
Da Mkuu mbona hii ngum kumeza sasa
Mpaka machozi yani kwa nini tunafanyiwa
Hivi da inauma sana yan kama ni kweli
 
wewe unashangaa hilo?

Kajionee namna sarikaki hii ya awmu ya tano, namna ilivyodhamiria kuupeleka muswada bungeni, ambapo itakuwa "marufuku" kwa mtu yeyote kupeleka shauri mahakamani linalohusu uvunjwaji wa Katika ya nchi, kwa viongozi wakuu wa nchi, ambao ni Rais, Makamu wake, Waziri mkuu, Spika wa Bunge na Jaji Mkuu!

Je kuna maana gani kwa viongozi hao wakuu wa nchi, kuapa kuitetea Katiba ya nchi kabla hawajakabidilhiwa madaraka hayo??
Kuna jamaa moja ni dikteta lijinga lisilotumia akili. Kwa hiyo yanataka yavunje katiba na kukandamiza wananchi?
 
WAJAMENI,

Viongozi wa awamu hii ya tano wana mambo mabovu makuu mawili

1.Wanapenda na wana tamaa sana kutawala, lakini
2.Hawapendi na wala hawataki kabisa kuwajibika kwa matendo yao.

Hivi bado tunahitaji watu wa aina hii kuendelea kuiongonza JMTZ?
 
Back
Top Bottom