Watu wenye kinga za kibalozi hapa nchini na hata mataifa ya nje hawakamatwi wala kuhojiwa kirahisi hadi pale kinga yao inapoondolewa,
Katika mazingira ya ndani ya nchi yetu wamekuwepo na wanazidikuibuka watu ambao vyombo vya dola haviwezi kuwakamata na kuwahoji kwa makosa waliyotenda kwa...
Nichukue nafasi hii kumtakia afya njema Kamanda Lisu.
Lakini pia nichukue nafasi hii kuwapongeza Mhe.Lema na Nassary kwa kazi nzuri waliyofanya ambayo kwa karne na karne itakumbukwa na kutumika kutolea mifano maeneo mbalimbali. Watoa Rushwa dunia kote ujificha kwenye koti LA watawala na...
Ni jukumu la msingi la kila kiongozi wa kisiasa kuhakikisha kuwa analinda na kutetea maslahi ya chama chake kwani chama ndio msingi wa ajira yake.
DC kwa nafasi yake ni Mwenyekiti wa timu ya ulinzi na usalama katika wilaya hivyo tunaamini pamoja na mambo mengine analo jukumu LA kuvilinda vyombo...
Historia inaonyesha viongozi wengi wa nchi yetu katika ngazi mbali mbali wamekuwa wakipokea au kutoa rushwa huku wakijua kwamba hakuna wa kuhoji au hakuna hatua zitakazochukuliwa, kwann sasa serikali isichukue hatua kwa kila anayetuhumiwa na ikithibitika siyo kweli MTU huyo...
Ni kosa kubwa kimaendeleo hasa kwa taifa kuishi kwa maono na dira za viongozi waliopo madarakani, kwa upande mmoja zipo faida hasa pale unapokuwa na kiongoz aliyejitoa kutumikia watu ila madhara yake ni makubwa hasa pale unapokuwa na Taifa lenye mfumo wa uongozi wa miaka mitano hadi kumi.
Ukiwa...
Nimeangalia video ya Mhe.Rais akifungua mkutano wa chama akieleza masikitiko juu ya kuugua kwa mtoto wa Katibu mkuu wa chama hicho, ila ukiangalia wazee wanavyoimba na hata vijana unaona nyuso zisizo na Nuru kama tulivyozoea, imenifanya nitafakari kuna nini bila majibu........ukipata muda wa...
Nikiangalia safu ya wizara ya maliasili nchini K nikalinganisha na Tanzania naona Prf Magembe mikikimikiki kidogo inamzidi nguvu...panahitaji Kijana mbunifu mwenye kukimbizana na technology kuitangaza sekta yetu ya utalii nje.
Katika safu ya viongozi tulionao namwona January kama mtu sahihi kwa...
Nimelinganisha jimbo lake na majimbo mengine,nimelinganisha uwezo wake na uwezo wa wabunge wengine,greda linanunuliwa kwa fedha za walipa kodi na kulitumia kutekeleza yale yaliyokusudiwa kufanya na greda tajwa ndiyo maendeleo yenyewe, nimezungumzia huduma za afya kabla na baada ya ujio...
Ni Mara ya Pili kuja kimatembezi mkoani Arusha, mara ya kwanza nilifika mwaka 2001 na wakati huo nilifanikiwa kutembelea baadhi ya maeneo machache ya jimbo la Arumeru wakati tunafanya utafiti wa zao la kahawa.
Katika pitapita zangu katika jimbo la Arumeru naomba nikiri ipo kazi kubwa imefanywa...
Kuna viumbe wameanza kucheza na kazi za uwakili, juzi jamaa kanunua eneo na katika mauziano akamwagiza dalali amtafute Wakili na huyo dalali akamleta MTU aliyejitambulisha kuwa wakili na wakakamilisha biashara.
Baadaye tukiwa kijiweni tukasikia jamaa mmoja analalamika kuwa ametapeliwa kwa...
Kuna viumbe wameanza kucheza na kazi za uwakili, juzi jamaa kanunua eneo na katika mauziano akamwagiza dalali amtafute Wakili na huyo dalali akamleta MTU aliyejitambulisha kuwa wakili na wakakamilisha biashara.
Baadaye tukiwa kijiweni tukasikia jamaa mmoja analalamika kuwa ametapeliwa kwa...
Zipo taarifa zinazagaa za baadhi ya madiwani Arusha kupewa Rushwa na inadaiwa ushahidi upo na kwamba TAKUKURU wanapaswa kuupokea na kuchukua hatua. Katika kufuatilia hadi sasa sijasikia Mkuu wa TAKUKURU Arusha akidai kupokea ushahidi tajwa na kuanza uchunguzi ikiwemo kuwahoji watuhumiwa.Je hii...
1.Nape Nnauye
2.Hussein Bashe
3.Enzi za Mzee Lembeli
4.Mzee mwandosya
5.Nyalandu naye anaibukia.
Hawa wote katika maoni na mienendo ya yao hawavunji sheria wala katiba ya nchi na hata ile ya chama lakini utawala ndani ya chama uwachukulia kama wasaliti....tatizo ni nini? Kwanini chama kikubali...
Katika maisha kila jambo lina nafasi na majira yake.Ikifika mahali ukajiona unathamini kazi unayofanya kuliko watu tambua maisha yamekuelemea, na ukiona unatamani ustawi wa vitu kuliko ustawi wa watu basi ujue ubinadamu umekutoka na unyama umekuingia.
Binadamu ameumbwa kuvitawala vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.