Recent content by Dunder

  1. D

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Tafadhali kama una majina ya sekretariati ya ccm baada ya akina makamba kujiuzulu naomba tujuze!!
  2. D

    Polisi wavunja maandamano ya Wanafunzi UDSM; Watawanywa kwa mabomu ya machozi

    With this trend of countless demonstrations inaashiria wazi tuna tatizo la kimsingi lakini ni nani kati ya Viongozi wetu mwenye ujasiri wa kujipambanua na kutoa tamko au maamuzi yenye mlengo wa kutatua tatizo la msingi!! Zaidi sana wanafanya high fly mgt decision na kutumia vyombo vya dola...
  3. D

    Polisi wavunja maandamano ya Wanafunzi UDSM; Watawanywa kwa mabomu ya machozi

    Mmh! My take haya ni matunda ya ahadi hewa na zisizotekelezeka!
  4. D

    Serikali yavunja rekodi ya ukusanyaji mapato na akiba ya dola!

    Mzee wa Rula naelewa hoja yako juu ya inflation. Lakini ninamashaka na hawa jamaa wa Habari Leo maana inawezekana kabisa wanatumika kueneza propaganda zisizo na tija kwa taifa letu. Ukizingatia Umeme wetu ni wa mawazo na hii imepelekea production kushuka mno ikiwa na maana hata mapato yameshuka...
  5. D

    DOWANS vs TANESCO - Why TANESCO Lost?

    Mkuu Invisible! Heri ya Mwaka mpya. Kwanza nikupongeze kwa jitihada zako ktk kutumegea yaliyojiri kati ya Tanesco na Dowans. Mashaka yangu ni kwamba document uliyopost haijakamilika and in order for the one to make a proper and an informed argument should have gone through the whole document...
Back
Top Bottom