Recent content by Dun duu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 unaelekea mwisho, Malengo yako yalikuwa yapi? Umetekeleza nini? Changamoto? Let's share experience!

    Mimi ni mwajiriwa serikalini.nilipanga Mwaka huu nihamie kwangu kutoka nyumba ya kaka.Nilijenga nyumba bado kupaua. CHANGAMOTO. Mwezi wa Aprili Mwaka huu bosi alinichongea Kwa mwajiri Wangu jambo zito. Nilipoongezwa mshahara mwezi wa saba nilipanga nikope kumalizia nyumba yangu lkn mpaka Leo...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi tuokoeni wakazi wa Temeke Mwisho

    Du
  3. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupima ukibainika umeathirika fanya haya

    Vampire mbona unacheka?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupima ukibainika umeathirika fanya haya

    Habari wadau wenzangu wa Jf. Kuathirika sio mwisho wa maisha kwakuwa kuna watu wameathirika na wanafanya shughuli zao kwa Amani Kabisa.Wanafanya biashara wanafanya kazi serikalini. Wanasoma shule Vyuo vya kati hata vya juu. Wengine wapo kwenye ndoa na wameathirika na hawashituki chochote...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Je, wanawake nao hawakutani na tatizo la nguvu za kike?

    Inakuwaje Kwa mwanamke aliepungukiwa na nguvu za kike?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Je, wanawake nao hawakutani na tatizo la nguvu za kike?

    Habari! Kuna jambo naomba kujua.Je,wanawake nao hawakutani na tatizo la nguvu za kike? Naomba kujua.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nani aliondoa madisco shuleni?

    Disiko
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nataka kumfundisha mke Wangu anywe bia.

    Habari nitumie mbinu gani ili anywe tuwe wote tunalamba serengeti? Maoni yenu.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mzazi wako anaweza kukuonea wivu na husa kwa neema chache ulizonazo?

    Sio baba wadogo hao? Siamini aliekuzaa atafanya hayo
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mlioko DAR mnawezaje kuishi huko

    Dar esalaam panataka use na pesa laa sivyo utakuwa unatingisha sharubu tu wenzio wakila bata
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

    Huo mtaa una wachawi wanakutisha usijenge komaa utamaliza ujenzi.Mimi wakati mafundi wanapiga plasta waliona snake[emoji216] akitoka ukutani kwenye plasta wakatoka nduki lkn nilimaliza ujenzi
  12. D

    JamiiForums Tanzania Vyeti vya marehemu, nani huwa anarithi?

    Vyeti watu wananunua anakwenda kuajiriwa private huko lkn angalau uwe umesoma kidogo
Back
Top Bottom