Nataka kumfundisha mke Wangu anywe bia.

Nataka kumfundisha mke Wangu anywe bia.

Habari nitumie mbinu gani ili anywe tuwe wote tunalamba serengeti?

Maoni yenu.
😀😀Usijethubutu!
Utajutaa wakati ukifika wa wewe kuacha kutumia halafu mwenzio ndio kwanza imekolea.

Yaani mtaingia mgogoro msioutarajia.
Nani ataenda naye bar?
Au utampleleka na wewe hata harufu ya pombe hutaki kusikia kwa wakati huo?
Akitaka kwenda bar pekeeyake utamruhusu?
 
Habari nitumie mbinu gani ili anywe tuwe wote tunalamba serengeti?

Maoni yenu.
Kabla hujamwingiza kwenye utumiaji wa pombe yakubidi ujue je Ana uwezo wa kuhimili kwa maana Ana kichwa cha pombe? Iyo moja na la pili tarajia tabia tabia mpya kwake, na siku ikiwama hatakuelewa kiu ikija, kifupi km unampenda usimwingize huko mkuu! Nahisi iyo amani uliyonayo na shem huijui thamani yake na soon utaiharibu!
 
Atajajutia mbaya...yaan utaikumbuka hiyo siku, wanawake pombe na nyege ni chupi na matako....atafanya vituko uchafu mpaka ukome
 

Attachments

  • Screenshot_2022-10-01-19-54-18.png
    Screenshot_2022-10-01-19-54-18.png
    79.2 KB · Views: 23
Kwenye maji ya kunywa mix na konyagi weka limao jingi asisikie harufu ya nyagi!,mdanganye ni dawa akianza kukukatikia hovyo mwambie dawa imeanza kufanya kazi
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom