Reje kichwa cha haba ri hapo juu. Huyu mke wa binamu yangu alitaka kuniharibia ndoa yangu ila kilicho mkuta haamini.
Binafsi kabla sijaoa hakuna nimesha date na wanawake wengi sana walio nijengea uwezo wa kuwamudu wanawake na kujua jinsi gani ya kudili nao.
Hivyo katika hizo harakati zote...
Ukimya wake haumaanishi yameisha kaka mkubwa. Kwa sasa ndio wakati wako wakuwa makini kuliko mwanzo .....haija isha hadi iishe kwa hawa ndugu zetu ndio kaulimbiu yao yaani baada ya kuchana nane anacho taka kukiona kwako ni umefulia umekua mbwa takataka....Ila kama bado upo imara unafuraha zako...
Hiyo mbinu ya mmarekani ilishwa pitwa na wakati tangu sekeseke lake na kiduku.
Yaani saizi wamestuka hawagombani na kambi mmarekani akileta ujinga watu wanapeleka moto direct Washington. So hayo makambi are useless ndio maana trump yupo kwenye mchakato wa kuyafuta
Maswali ya Kuzingatia kwa Maisha ya Watoto Wetu Wenye Umri wa Miaka 10 Kushuka Chini
1. Kwa nini unatumia fedha nyingi na nguvu kubwa kumpeleka mtoto shule za gharama, ambapo mwisho wa siku hakuna mafanikio ya maana?
2. Kwa nini ujitese na kukopa ili kulipa ada ambazo hatimaye mtoto anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.