Haki ya mtu huwa haiombwi bali huchukulia, kundi dogo lenye tamaa lilikuwa likinufaika kwa mali za nchi mungu kamleta mtetezi wanchi leo baadhi yawatu wanashangilia Tanzania kuendelea kuibiwa mheshimiwa fanya maamuzi magumu nchiyetu isongembele tupo nyumayako baba hawa wanaofurahia tuendelee...
Mrija ukikwatwa mwenyemrija hutukana sana na kuongea maneno ya shombo hili halihitaji kusikia kwani macho yetu yanaona mabadiliko makubwa tufanye kazi furaha haiji kwa kusema tu lazima tujifunge mkanda
Hayo ni matatizo yaliosababishwa na wew mwenyewe huyo umemkumba tu twende tukaishi wote hukufuata utaratibu subiri afe humo ndani ndo utakapo isoma namba vizuri maana huyo ni binadam muda wowo anaweza rejesha amana ya mungu ambayo ni nafsi utampeleka wapi , Halafu wewe ni mwanaume lakini...
Ualimu in wito hauhitaji hasira katafute kazi nyingine hufai kuwa mwalim maana unahasira sana halafu unapiga sehemu hatari za kuua kabisa wewe in mtu wa kuogopwa sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.