Recent content by Dumelang

  1. Dumelang

    JamiiForums Tanzania “Uchuuzi” Biashara zinazowalemaza Watanzania

    Nimeelewa sana Maoni yako. Pia watu wengi hapa tunapozungumzia kiwanda anawaza kuanza kushindana nchi nzima. Idea yangu kichwa ni watu kuanza kutengeneza viwanda anavyoweza shindana kwenye eneo lake dogo tu akapata wateja wake watiifu katika bidhaa hao ndio watakuza kiwanda. Waswahili wanasema...
  2. Dumelang

  3. Dumelang

    JamiiForums Tanzania “Uchuuzi” Biashara zinazowalemaza Watanzania

    Nyingi tu Mara 3 bomba, wakati mwingine kazidisha watu hadi kwenye buti. Kupita kwenye 50 speed.😁 Nakumbuka kuna siku alikuwa na makosa matatu kwa pamoja elfu 90, kwanza moja alisimamishwa akapitiliza kwa madai ya polisi alafu mbele alipofika kituo cha gari hakuingia ndani kupanga folen kusubiri...
  4. Dumelang

    JamiiForums Tanzania “Uchuuzi” Biashara zinazowalemaza Watanzania

    Daima usiogope vikwazo keep pushing in the hardest way kwakuwa njia ngumu ndiyo pia ukwepwa na watu wengi
  5. Dumelang

    JamiiForums Tanzania “Uchuuzi” Biashara zinazowalemaza Watanzania

    Nimesoma comments Nyingi zimesema changamoto kubwa ni Urasimu ikiwepo Rushwa. Hivi ni kweli hatuwezi pambana na Urasimu na Rushwa? Unajua Kwa mawazo yangu Watanzania wengi tunapenda kufanya vitu kwa upungufu unaacha Loophole ya Warasimu wengine kukutumia. Mfano wewe hujakamilika kwenye ABC...
  6. Dumelang

    JamiiForums Tanzania “Uchuuzi” Biashara zinazowalemaza Watanzania

    Tanzania tuna vijana wengi wenye mitaji na wanaojua kufanya biashara. Tatizo mara nyingi si mtaji, bali ni namna tunavyoutumia mitaji yetu. Fikiria Kijana ana Sh milioni 10, 20, 50 au 100, mara nyingi anawaza kwenda China, ananunue nguo, viatu, vipodozi au vifaa vya simu, nk anarudi na kuuza...
  7. Dumelang

    JamiiForums Tanzania Biashara yakukodisha gari ALPHAD

    1. Kama utaendesha mwenyewe 2. Sio unayoitegemea kwa kipato cha kila siku uwe na kazi zingine yenyewe ni inapotokea tu imekuja fursa yani ni pressure 3. Kazi yake iwe hiyo tu sio unapigia misele 4. Uwe na uwezo ukipata pesa yake walau 70% itunzike Kinyume na hapo utalia utatafuta mteja wa...
  8. Dumelang

    JamiiForums Tanzania Toka ulivyoanza kubeti Umepoteza kiasi Gani Cha fedha na umepata kiasi Gani mpaka sasa

    Nilipata mil 25 loss nikaacha nasitaki tena milele
  9. Dumelang

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali: Good News, vita ya Samia na Dr. Nchimbi inaelekea kileleni

    Akili hana anajifanya kapita TISS anasahau kuwa Tiss pia moja ya oparation zao ni kuwa feed wanaharakati taarifa za uongo kulingana na wanachotaka ku achieve hata mange wamekuwa wakim feed habari za kuposha ndio zimefanya sasa hata baadhi ya wafuasi hawamuamini Kwenye intelligence kuna vitu...
  10. Dumelang

    JamiiForums Tanzania Kutoka Gereza la Ukonga: Barua ya Tundu Lissu kwa Watanzania. Afafanua maana na athari nchi kuwa "banned" au kuwekewa "International restrictions"

    Hapa tunajadili andiko la Lissu na Mahudhui yake au tunajali kuuawa kwa Baadhi ya vibaka tarehe 29 oktoba na kupelekea kuaawa kwa baadhi ya Raia wema katika kusaka panyaroad? Sema kama mada imebadilika basi fungua uzi tujadili oparation safisha nchi
  11. Dumelang

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maneno ya English Wabongo walivyoyaharibu kimatamshi

    Number plate - pleti namba
  12. Dumelang

    JamiiForums Tanzania Kutoka Gereza la Ukonga: Barua ya Tundu Lissu kwa Watanzania. Afafanua maana na athari nchi kuwa "banned" au kuwekewa "International restrictions"

    Lissu kasema kama nani? Nahisi keshapitiwa gerezani kwasasa anawaza kikekike maana sio kuzuri kule. Hizo sababu hazijasemwa na Gerson msigwa wala serikali. Sababu ziliahinishwa na Marekani wenyewe na wamesema wazi sababu ni overstay
  13. Dumelang

    JamiiForums Tanzania Kutoka Gereza la Ukonga: Barua ya Tundu Lissu kwa Watanzania. Afafanua maana na athari nchi kuwa "banned" au kuwekewa "International restrictions"

    Nyingi kasoma na kila nchi wameweka sababu ya zuio zuio la tanzanini ni overstay
  14. Dumelang

    JamiiForums Tanzania Kutoka Gereza la Ukonga: Barua ya Tundu Lissu kwa Watanzania. Afafanua maana na athari nchi kuwa "banned" au kuwekewa "International restrictions"

    Sijaelewa andiko linalenga nini tukipate hasa? Maana ya Ban iliotolewa na Marekani au Uongozi mbaya wa nchi za mali, Bukinafaso na Sudan au Migodi ya Tanzania na unufaishaje wake kwa wananchi au kukodishwa kwa badandari? Au yeye kukaa gerezani siku 200+? Hivi huyu lissu anajua seneti inafanya...
  15. Dumelang

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna ubavu wa kumshika mwanajeshi wa Marekani ni uchawa tu

    Kwani Mwanajeshi wa marekani unamchukuliaje? Marekani ina hadi mashoga jeshini kazi yao ni kuliwa na wanajeshi wengine . Wapo kazi yao ni kuoika tu wali watu wale na wanakaa hata mwaka mmoja wanaacha mfumo wa jeshi wa marekani sio kama akili yako inavokuaminisha
Back
Top Bottom