Recent content by Dumelambegu

  1. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

    Kipindi recorded hakina mvuto.
  2. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

    Babu anayekula mihogo huwa ananifurahisha anavyoshika kipaza sauti.
  3. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania Dkt.Magufuli aibukia Njombe aungana na Filipokunjombe ujenzi barabara za Liganga

    Naona mmekazana kumnadi MSEMA CHOCHOTE Kimpumu Magufuli.
  4. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania Kama ni zamu ya Zanzibar basi ni balozi Seif Idd

    Hakika nchi hii ina wenyewe.
  5. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania CCT yamkosoa Rais Kikwete kwa kuharibu mchakato wa katiba

    CCT imechelewa sana kutoa tamko hili ingawa of course ujumbe umefika.
  6. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli:Jembe la Watanzania latua Mkoani Ruvuma

    Magufuli ni MSEMA HOVYO, MLOPOKQJI, MPENDA SIFA, MWENYE MAJIVUNO NA KIBULI, ASIYEFIKIRI KABLA YA KUTENDA, MUUZA NYUMBA ZA SERIKALI, n.k. Aache kuuota urais. Kwa tabia yake ya kuwadharau wananchi, hakuna rais mwingine tena ajaye anayeweza kumpatia hata uenyekiti wa kijiji. Kama wana Chato...
  7. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania Tatafakari juu ya Tamko la Prof. Mwandosya

    Mbali ya kuwa ccm, generally, mwandosya hafai kuwa rais hata mkuu wa wilaya.
  8. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania Tatafakari juu ya Tamko la Prof. Mwandosya

    Naungana na wewe kwamba nchi imeongozwa hovyo hovyo mpaka watu kama akina mwandosya nao wanauota urais. Huyu waziri asiye na wizara maalum hana lolote na ana kiburi na nyodo sana. Yeye ndiye aliyeivuruga DAWASCO kwa maslahi yake binafsi. Alimwondoa CEO mchapakazi Bw. Kaaya kwa maslahi yake tu...
  9. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania Majina 403 ya wauza unga yaanikwa: Ni Watanzania waliokamatwa ughaibuni

    Aisee, kweli hii ni dini ya AMANI. Nasikia wakati mwingine waumini wanajifunza karate kwenye nyumba za ibada.
  10. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Kichwa cha thread kinavutia as if ukifungua utakutana na scale kumbe ni utumbo tu tena wa kiti moto. Pppptuuuu!!!
  11. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Quarter Final: Brazil 2: Colombia 1 German 1: France 0 Agentina 1: Belgium 0 Netherlands 2: Costa Rica 1 Semi Final: German 1 : Brazil 3 Netherlands 2 : Agentina 0 Final: Netherlands 1 : Brazil 1 Penalty...
  12. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Watu wengi wamekuwa wakiidharau Brazil lakini wao wanaendelea kuchanja mbuga. Sasa wanaisifu Ujerumani lakini mwisho wa siku watashangaa mkoloni anaangushwa pwaaaaa!!!
  13. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Na ikitokea hivyo, Brazil watanyanyua ndoo kiulaiiiniiii.
  14. Dumelambegu

    JamiiForums Tanzania Poleni Sana Wabunge wa Upinzani kwa Kazi Nzito Bungeni. Bila Shaka Mungu Atawalipa

    Wajumbe, Kama kuna jambo linalonisononesha sana ninapotazama mwenendo wa Bunge letu ni namna hoja nzuri za wabunge wa upinzani zinavyotupwa na kiti tena kwa kejeli ya hali ya juu na kuungwa mkono na wabunge wa chama tawala. Wakati mwingine nimekuwa nikifikiri kwamba ningekuwa mimi huenda...
Back
Top Bottom