Recent content by dume lao

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Zanzibar Kisingizio tu kwenye kashfa ya TZS 1.5T

    huyu dogo atakuwa fundi sana bdae.anajua sana kujenga hoja.mwami mtunze dogo kwa gharama xozote unaweza kuta hzohzo 1.5 zinamnunua mpka yeye mwenyewe
  2. D

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nimechukua hatua juu ya taarifa za tishio la maisha yangu, chama changu kitatoa taarifa baadae

    Ngwajima ndio nani afu unatokea mpakani,bahati yako upo CCM
  3. D

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Benard Membe?

    yupo nyumban kwake
  4. D

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la kimataifa lalalamikia ukiukwaji wa taratibu za kiusalama uliofanywa na Mkuu wa Mkoa Dar

    Niliwahi kusikia ushamba ukizid unakua ushambenga.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aifungua Hospitali ya Taaluma na Tiba - Muhimbili kampasi ya Mloganzila

    Ww ndio hujui mipaka
  6. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aifungua Hospitali ya Taaluma na Tiba - Muhimbili kampasi ya Mloganzila

    Ipo kisarawe...pwani
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara ya 6,600/= ni dharau kwa wafanyakazi

    Mimi siilaum serikali ila naona wafanyakazi sisi wenyewe ndio wapuuzi,haiwezekan kwa haya matendo tunayofanyiwa tukaendelea kuwaacha hawa watu madarakani.TUNAWEZA KABISA KUWAFANYA WANANCHI WAKAWACHUKIA.tuanze harakati kimya kimya.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mbwembwe zote zile mshahara wa watumishi wa Umma imeongezwa Tsh 7,000/=(elfu saba tu)

    Kwa taarifa yako watu wananunua nafas mpaka tsh 30,000 kama ulikua hujui ..usikaze sana kichwa
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mbwembwe zote zile mshahara wa watumishi wa Umma imeongezwa Tsh 7,000/=(elfu saba tu)

    Mm nimekuta imepungua kama laki na 30 ..kuna mtu mwenye tatzo kama langu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tukio la Lissu: Takriban miezi miwili sasa hakuna mchoro wala hela ya tuzo!!

    Utembee kutokea wapi,maana unaweza kuwa kiluvya
  11. D

    JamiiForums Tanzania eneo linauzwa

    Mimi nilijua una details,kumbe ulisikia/kusoma sehem.mim ni mwenyeji wa maeneo hayo najua nachokiongea.kanunue hata hekar 1 kwa m1.utarudi hapa kutupa mrejesho.hakuna eneo hata 1 la kibaha mji lisilokua la mtu.ila watu wenye kutaka mteremko wanapigwa tu.
  12. D

    JamiiForums Tanzania eneo linauzwa

    Mkuu nipo safar after 1 wk nitaweka pic,kama hutojali ukiingia you tube, ruvu fish.ni jiran na huo mradi
Back
Top Bottom