Recent content by dumbi

  1. dumbi

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Watu washaaribu uzi Mada nyingine kinachojadiliwa kingine
  2. dumbi

    DOKEZO Wananchi hatumtaki Mjumbe wa Mbezi Msumi (Dar), anatumia madaraka yake vibaya

    Sasa mtu kama anaingia nyumbani kwako kwa nguvu si ndio hapohapo pa kumalizana ?unasema ulikuwa unajihami unamshikisha na yeye panga lake mkononi badala ya kufanya yako au unaita mwizi unamkabizi kwa wananchi wenye hasira kali.
  3. dumbi

    Je, Taoism ni uchawi? Je, unaweza kutumia Taoism kutabiri mambo ya mbeleni? Nitajaribu kukuelewesha

    Mkuu nimejaribu kukisoma kitabu naona sikielewi nafeli wapi
  4. dumbi

    Looh! Nimeambiwa kuchuma chai kg 1 sh 300 bora nirudi nyumbani

    Mbona rahis tu nenda na fyekeo lako hata kilo 100 unapata
  5. dumbi

    Ujerumani ina mpango wa kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za Kiislamu

    Ilikuwa haina haja ya tusi hapo, upo sahihi kwa hicho unachoamini pia heshim na wenzio wanachokiamini.
  6. dumbi

    Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

    Hayo mambo wanayo wa afrika
  7. dumbi

    Nimegundua njia ya kuifikia subconscious mind kupitia ndoto

    Lete madini tuko pamoja
  8. dumbi

    Yerusalemu: Kikombe Kinachowalevya Mataifa - Part 2

    Halafu hizi porojo unazikuta huku tu kwa watu weusi ukiingia page za white huko hukuti hata neno Israel taifa teule,aliyeturoga katupatia sana
  9. dumbi

    Je, wajua nini kuhusiana na nadharia ya uwepo wa Jua la Kiroho?

    Mimi swali langu kuhusu nafsi,umesema nafsi ni mwili wa ndani sasa swali lilipo je mtoto anapozaliwa anakuwa tayari anayo nafsi?kama anayo nafsi je inakuwa ndogo ki umri kwamba kila anavyokua na nfsi inakuwa na kama nafsi haikui kwanini binadamu asizaliwe akiwa anajitambua maana nafi yake ni kubwa.
  10. dumbi

    Je, wajua nini kuhusiana na nadharia ya uwepo wa Jua la Kiroho?

    Vp mkuu ushamaliza?ndio imeisha
  11. dumbi

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Inatakiwa ufanye nini unapoota ndoto mbaya?
  12. dumbi

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mi ndiomana sishobokaki na nyama za kugaiwa huwa nahisi hivyohivyo
  13. dumbi

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Sawa nimeuliza hivyo kwasababu vya mwilini havifanani na vya rohoni kwa mujibu wa walimu humu, sasa kama vitakuwa vya makaratasi si vitakuwa vya mwilini tena ?pia nimejenga picha kitakuwa na ukubwa wa namna gani mpaka kiweze kuingiza majina ya binaadamu wote waliowahi kuishi duniani ?
  14. dumbi

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Samahani hicho kitabu ni cha makaratasi kama hivi vyetu au cha namna gani?
Back
Top Bottom